miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
kubwa rafiki yenu ajaribu kuongelea maswala ya ndoa jibua atakalopewa ndo itampa mwelekeo, nadhani dada atakuwa umri umeenda sudhani kama atakuwa bado anajoto la ujana sana.
Samahani kwani real love inakuwa determined na uwezo wa kifedha wa mtu?"
Mapenz ya dhati!!!!!!" Hizo fikra ondoa kabisa....real love is the relative term...it alwayz involve an "OPTIONS" f(x)=mx +c...,for ever value of c (example worth ,skill,security) is what will push he/she..to initiate relationship to somebody...hivyo km mtaan kwetu tajir ni tax driver pekee bint atakwenda kwake ...lakn endapo utakuja zaid ya taxi driver...basi real love (un certainty term) itahaama..."mfalme Mwati kaoa bint mwingine...discuss..
Mtu anapiga mashine mpaka mchuchu unapiga mastaz walikuwa wanaangalia tu. Mchuchu umemaliza shule umelamba ajira fresh wakuda ndo wanaanza kuuliza kama wataendana. Anayepigwa storongo hana habari wapambe wanajiuliza kama wataendana.
Mi nadhani wampelekee taxi driver awagonge na wao waone utamu wake ndo wajue kwanini mastaz si kitu mbele ya storongo.
Mi nakasirikaga sana mimi.