Baba Mandigo Sr
Member
- May 28, 2020
- 8
- 9
Abidjan city has a GDP per capital of 2300$Abidjan ni mtoto sana kwa Nairobi. Hata Dar imeishinda kwa maendeleo
Gdp ya Abidjan ni ngapi? Wachana na mambo ya per capita kwanzaAbidjan city has a GDP per capital of 2300$
Nairobi ni slum tu, haina maendeleo yoyoteAbidjan ni mtoto sana kwa Nairobi. Hata Dar imeishinda kwa maendeleo
Wewe ni wazimu tu. Nenda unywe uji.Nairobi ni slum tu,haina maendeleo yoyote
Nairobi haiingii kwa Dar kwa maendeleoAbidjan ni mtoto sana kwa Nairobi. Hata Dar imeishinda kwa maendeleo
Unajua GDP ya Luanda? Mbona haina maendeleo makubwa?, wacha kutumia vigezo visivyokua na maana. Muhimu ni matumizi bora ya pesa.Gdp ya Abidjan ni ngapi? Wachana na mambo ya per capita kwanza
Apparently this is the city that competes with Dar!Unajua GDP ya Luanda? Mbona haina maendeleo makubwa?, wacha kutumia vigezo visivyokua na maana. Muhimu ni matumizi bora ya pesa.
Kenya pesa yote inaibiwa, hakuna maendeleo yoyote yanayofanyika Nairobi kulinganisha na GDP yake. Ndio sababu jeshi la Ethiopia bajeti yake ni $300M kwa mwaka, lakini lina idadi ya vifaa vya kivita na idadi ya wanajeshi mara 3 zaidi ya Kenya yenye bajeti ya $1B kwa mwaka.
its Ubungo not Ubongo! give it 2-3 months will be ready!Hii barabara ya ubongo haijawahi kukamilika?
Sawa lakini hujajibu swali. Kwani Wajapani wanachukua miaka kumi? Mngepea wachina ingekuwa iliisha zamaniits Ubungo not Ubongo!
Wacha ku-cram project haijachelewa it's on time! The Chinese r building the interchange!Sawa lakini hujajibu swali. Kwani Wajapani wanachukua miaka kumi? Mngepea wachina ingekuwa iliisha zamani
They r also involved in this mega project in Mwanza the longest bridge in East n central Africa n to be 6th longest in Africa!Sawa lakini hujajibu swali. Kwani Wajapani wanachukua miaka kumi? Mngepea wachina ingekuwa iliisha zamani
GDP na matumizi bora ya pesa vimeingiliana wapiUnajua GDP ya Luanda? Mbona haina maendeleo makubwa?, wacha kutumia vigezo visivyokua na maana. Muhimu ni matumizi bora ya pesa.
Kenya pesa yote inaibiwa, hakuna maendeleo yoyote yanayofanyika Nairobi kulinganisha na GDP yake. Ndio sababu jeshi la Ethiopia bajeti yake ni $300M kwa mwaka, lakini lina idadi ya vifaa vya kivita na idadi ya wanajeshi mara 3 zaidi ya Kenya yenye bajeti ya $1B kwa mwaka.
GDP per capita is an important indicator of economic performance and a useful unit to make comparisons of average living standards and economic wellbeing.Gdp ya Abidjan ni ngapi? Wachana na mambo ya per capita kwanza
We all know where the slums stay..What about Dar-is-Slum.Slum city
I’m be honest here , Mkifanikiwa hili. Itakuwa a big achievement.They r also involved in this mega project in Mwanza the longest bridge in East n central Africa n to be 6th longest in Africa!
BTW do u still believe KQ will reclaim cargo from Tanzania? FYI Mwanza is to be the J'burg of East Africa all the gold n diamond mining companies that r having their headquarters in J'burg have agreed to relocate their headquarters to Mwanza!