Inawezekana maana zipo za aina nyingi,kuna zile za waya na za kawaidaMkuu Mbona kuna mtu ananiambia anayatumia huu mwaka wa 3 toka aweke hazijamsumbua na anapiga nazo Safari sana!
Hazisumbui na ikiwa kipara haipati pancha mara kwa mara...Ila kashata zinaisha mapema...Mkuu Mbona kuna mtu ananiambia anayatumia huu mwaka wa 3 toka aweke hazijamsumbua na anapiga nazo Safari sana!
Labda kama anafanya safari za kwenda vituo vya mafuta na kurudi nyumbani!Mkuu Mbona kuna mtu ananiambia anayatumia huu mwaka wa 3 toka aweke hazijamsumbua na anapiga nazo Safari sana!
Labda kama anafanya safari za kwenda vituo vya mafuta na kurudi nyumbani!
Habari ya mjini ni LingLong kaka. Weka mbali na watoto. Nimenunua nimeetembea nalo Km 7400 had I sasa ila dah zipo gadoWakuu,naomba kuuliza kama kuna ambaye amewahi kutumia matairi ya goodride anielezee uimara wake,na je kwa masafa marefu kama kwenda musoma inaweza kupiga trip ngapi kwa private car,nilienda kununua matairi aina ya bridgestone nikakutana na haya matairi na nikaona bei yake iko chini ila mimi sijawahi kuyatumia,
Zinauzwaje kiongoziHabari ya mjini ni LingLong kaka. Weka mbali na watoto. Nimenunua nimeetembea nalo Km 74000 had I sasa ila dah zipo gado
120,000/= moja mkuu gerezani pale. Nipo mkoa kwasasa ila kuna fundi anajua vema tairi kuzichagua maana nyingine mbichi na pia anajua kuzifunga. If you want his contacts I can helpZinauzwaje kiongozi
Siyo mbaya mkuu nipe hiyo namba...120,000/= moja mkuu gerezani pale. Nipo mkoa kwasasa ila kuna fundi anajua vema tairi kuzichagua maana nyingine mbichi na pia anajua kuzifunga. If you want his contacts I can help
Note: Gari yangu ni Crown
Waste Lake hakuna kitu mkuu. Jamaa atakuwa chakula ya matrafki baada ya miez3. Note my wordsWESTLAKE SAFI NA BEI POA nenda kariakoo kipata utapata