Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,808
- 59,317
Kwahiyo mnataka kulazimisha kila mtu aamini ameshadanganywa au atadanganywa??Kama yamekukuta wewe sio lazima yanikute na mimi...watu tunatofautiana kwa kila kitu..kwahiyo poleni nyie ila siwezi kuishi kwa wasiwasi wa mtu mwingine vile tu yeye hana imani na mwenzi wake!