kuna mwanamke wa hivi?

Nailyne

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
350
111
najiuliza kuna mwanamke ambaye katika maisha yake ya mahusiano kuanzia galfriend n boyfriend, hadi husband and wife hajawahi kutendwa? (cheated)
 
Amini wapo wanaume wasiocheat!Mimi mpaka sasa hivi kucheatiwa nasikia kwa jirani tu!
 
nilifikiri unaulizia mwanamke ambaye hana kitumbua
 
Wataalamu wanasema we learn thru mistakes....
Kama hujawahi onja machungu,utathamini vipi matamu utakapo yapata..
 
Wataalamu wanasema we learn thru mistakes....
Kama hujawahi onja machungu,utathamini vipi matamu utakapo yapata..

najaribu kukuelewa mkuu, kwa hiyo hayo machungu yanayopata wanawake by being cheated yanawafanya wathamini wanaume zaidi ama??
 
najaribu kukuelewa mkuu, kwa hiyo hayo machungu yanayopata wanawake by being cheated yanawafanya wathamini wanaume zaidi ama??

nailyene...
Ukipata mwanaume mzuri utajuaje kuwa ni mzuri??????

Lakini ukipata mwanaume mbovu,halafu ukiachana nae ukaja kumpata mzuri...
Utamthamini....
Sababu unajua tofauti.....

Idadi kubwa ya wanawake huwa wanakuja kugundua

kuwa mwanaume fulani alikuwa mzuri anaewafaa...when its too late
especially anapokuwa amempata mwanaume mbovu....
 
Amini wapo wanaume wasiocheat!Mimi mpaka sasa hivi kucheatiwa nasikia kwa jirani tu!
Ndo maana kukaitwa ku cheat ama kudanganywa. Huwa ni ngumu kujua. Ni afadhali ukaamini ushawahi kuliko kuamini bado siku ikitokea utakufa kwa BP.
 
Amini wapo wanaume wasiocheat!Mimi mpaka sasa hivi kucheatiwa nasikia kwa jirani tu!

Wahenga walisema "hakuna marefu yasiyo na ncha"

Lady JD akaimba USIUSEMEE MOYO WA MWENZAKO
 
Mimi ukiniambia kuna ambao hawakawahi kucheat (mwanamke au mwanaume) naona kama unaniambia kuna wasio na dhambi.

Ukisema kuna ambao hawajawahi kutoka nje ya ndoa nitakubali 100%
Mi nashangaa sana ninapoona mwanamke au mwanaume anaposema mpenzi wake hajawahi kucheat
 
Wapo wengi, mimi nina wife wangu ndiye nilikuwa boyfriend wake wa kwanza. Na nilimkuta akiwa bikira na sasa tuna mtoto mmoja. Nilimkuta akiwa na hali hiyo akiwa na age ya 26yrs. Sasa ni very rare kukuta mwanamke bikira.
 
Back
Top Bottom