Kuna mwanamke ananipenda lakini mapenzi hataki kunipa

Kuna mwanamke ananipenda lakini mapenzi hataki kunipa

Tafuta njia mbadala ya kukidhi hja zko wakati unamgoja yy kukupa penzi

Yeah, hiyo ndio theory, wakati anaendelea kusubiri nyumbu, basi aendelee kula swala.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mpelekee hiv test Ana jipya unamalizasameday
 
Yeah, hiyo ndio theory, wakati anaendelea kusubiri nyumbu, basi aendelee kula swala.

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Hahahahahahahhh......!!!!!!! Kiiirrruuu...!!!!!!
 
Kuna mwamke mwaka wa pili namtongoza ananipenda sana lakini mapenzi ataki kutoa wana JF, naomba msaada?

hujamtengenezea mazingira mazuri ya yeye kutoa papuchi yake,we unataka akupe mkiwa cafe????
 
Shida yako king,ang,anizi mana huyo binti yawezekana anakupenda tu kawaida hajakupendea down wala nini ila hisia zako tu, kama vipi down mtuno unasumbua si umuoe dhambi ya uzizi ya nini, mwisho mvamiwe na jini mahaba
 
Kuna mwamke mwaka wa pili namtongoza ananipenda sana lakini mapenzi ataki kutoa wana JF, naomba msaada?

Wanafiki wakubwa wanawake wa namna hiyo ukute anaibwana analo. Wewe mwekee masharti kama hataki kukupa basi awe ni bikra vinginevyo achana naye atakupotezea muda. Wanafiki sana hao wanajifanya wanaringa wakati kaanza kufanywa toka ana miaka 12, leo hii anajifanya anabana. Muulize kama hakuwahi kutembea na mwanaume?
 
Back
Top Bottom