we si ndo ulikuwa unasupport kuwa dem akikusumbua ndo anakupenda?
mi ningekuwa mwanaume natongoza mara moja tu hataki sepa
ntavuta mwingine pozi za nini kwani yake ina maua alaah!!!
Eve yaan leo umeamua kuwachana,watakuelewa tu.
we si ndo ulikuwa unasupport kuwa dem akikusumbua ndo anakupenda?
mi ningekuwa mwanaume natongoza mara moja tu hataki sepa
ntavuta mwingine pozi za nini kwani yake ina maua alaah!!!
we si ndo ulikuwa unasupport kuwa dem akikusumbua ndo anakupenda?
mi ningekuwa mwanaume natongoza mara moja tu hataki sepa
ntavuta mwingine pozi za nini kwani yake ina maua alaah!!!
Uliwahi soma Biblia kweli?ya sita mkuu
Kuna mwamke mwaka wa pili namtongoza ananipenda sana lakini mapenzi ataki kutoa wana JF, naomba msaada?
mmmh naona siku hiyo tuliongea lugha tofauti naimba taarabu mwenzangu unacheza ndombolo haya banawewe ulikua huamini kama kuna wanawake wanasumbua,sasa umeona?sasa dogo akienendelea kufukuzia anaweza kukubali hapo baadae baada ya kusoteshwa sana lakini.hoja yangu inasimama kuwa huko mbele huyo binti anaweza kuja kufa sana kwa jamaa,tofauti na anavyomfanyia huyo jamaa kwa sasa.hata hivyo tusiendeleze mjadala.Pamoja na hayo naomba nikutanie kidogotu."Unaonekane wewe pia mwanaume akiku approach kama hujampenda ni jibu moja tu la kufa mtu,ambalo laweza mfanya mtu avuke barabara bila kuangalia kushoto wala kulia, nahata siku nyingine akikuona anajificha.HUREMBI".
Uliwahi soma Biblia kweli?
Soma Kutoka 20:14 utaielewa
12. Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
13. Usiue.
14. Usizini.
15. Usiibe.
16. Usishuhudie jirani yako uongo.
17. Usiitamani nyumba ya jirani yako; wala mke wake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako
Ni ya saba mzee usikariri kasome mwenyew kwenye Biblia
Cc toccara
hahahahaha eve kuremba muhimu kunaongeza nakshimmmh naona siku hiyo tuliongea lugha tofauti naimba taarabu mwenzangu unacheza ndombolo haya bana
ila we na miss neddy ndo mlikuwa upande mmoja mi hizo ishu za kuremba wala sina
Kuna mwamke mwaka wa pili namtongoza ananipenda sana lakini mapenzi ataki kutoa wana JF, naomba msaada?
Sentensi yako inakinzana yenyewe...
Au umeamua kuficha ukali wa maneno.
Sex sio kipimo cha upendo...(bottom line).
wewe ulikua huamini kama kuna wanawake wanasumbua,sasa umeona?sasa dogo akienendelea kufukuzia anaweza kukubali hapo baadae baada ya kusoteshwa sana lakini.hoja yangu inasimama kuwa huko mbele huyo binti anaweza kuja kufa sana kwa jamaa,tofauti na anavyomfanyia huyo jamaa kwa sasa.hata hivyo tusiendeleze mjadala.Pamoja na hayo naomba nikutanie kidogotu."Unaonekane wewe pia mwanaume akiku approach kama hujampenda ni jibu moja tu la kufa mtu,ambalo laweza mfanya mtu avuke barabara bila kuangalia kushoto wala kulia, nahata siku nyingine akikuona anajificha.HUREMBI".
Hivi yy n bkra?? au subiri tuu
Ukiona hivo airisha kugonga madem! wewe punyeto ndo inakufaa!