Kuna mwana JF hapa Samaki Samaki Samora Avenue..

Kuna mwana JF hapa Samaki Samaki Samora Avenue..

halafu uje hapa na bandiko naomba mchango nimtibie mama mkwe ntakukimbiza kama sikujui. ama PM kwangu eti mwenyekiti wa UWJ naskia huwa unajihusisha na charity naomba msaada mama mkwe hana pesa ya dawa...............nakwambia utaniita jina langu la udogo.

ponda raha kufa kwaja
naomba nikuite jina lako la utoto!!!
Namakumisss veve na pacha yako
 
- Makaburini

- toroka uje

- makalio

- leo tupo hapa

- simba kapakatwa

- chuma ulete

* majina ya pub za siku hizi!!!!!
 
NA BADO WATAKUCHUNA TU MPAKA UTOBOKEMIFUKO YOTE NAKICHWA CHOTE, YANI WEWE Mtambuzi bado hujaacha hiyo tabia yako jamani hebu mrudie muumba wako achana na dhambi ya ulevi
 
Last edited by a moderator:
na mimi nakaribia kutangaza jamhuri yangu huku arusha M42
16486_428362040580492_21873575_n.jpg
 
Back
Top Bottom