Kuna mwana JF hapa Samaki Samaki Samora Avenue..

Kuna mwana JF hapa Samaki Samaki Samora Avenue..

Ungenikuta aisee na unapoingia tu ungegundua nipo humo!
Pole kesho ntakuwa nanenane pale Shwain then ntaingia kwa ndani kidogo!
Karibu sana

Poa.......nitapita hapo nicheck then nitaelekea Moshono.......kuna mwanga naona unatokea kule nataka niufuate.......nijue ni wa nini...........
 
Poa.......nitapita hapo nicheck then nitaelekea Moshono.......kuna mwanga naona unatokea kule nataka niufuate.......nijue ni wa nini...........
Ok pouwa tutawasiliana mida ikifika na nahisi ntakujoin nikaangalie kipya kwenye huo Mwanga
 
halafu uje hapa na bandiko naomba mchango nimtibie mama mkwe ntakukimbiza kama sikujui. ama PM kwangu eti mwenyekiti wa UWJ naskia huwa unajihusisha na charity naomba msaada mama mkwe hana pesa ya dawa...............nakwambia utaniita jina langu la udogo.
mwambie huyo sahizi anatumbua mshahara na warembo hakumbuki kuna kuchangia fao la uzeeni,ugonjwa,uzazi,vifo n.k ole wake aje atembeze bakuli hapa eti ngina kakosa ada loh Mtambuzi utajuta nakwambie labda nisiione hiyo thread.
 
A come this way, niko na warembo wananichuna mshahara wangu......

Leo kwa Mama Ngina kutachimbika aisee...... LoL

ww sasa si utabakizwa ngozi tu,mshahara wenyewe wa kwendea pole kama strabag na ujenzi wao pale fire,nyumbani mbona dagaa zitawakoma.
 
A come this way, niko na warembo wananichuna mshahara wangu......

Leo kwa Mama Ngina kutachimbika aisee...... LoL
Yaani, mpk sasa na umri huo unachunwa na warembo? kaka yangu Mtambuzi, kumbuka fainali uzeeni, usije ukaanza kunisumbua eti nikutunze kwa sababu bila wewe nisingeijua Dar, shauri lako mm sitaki lawama.
 
Wengine wanapenda kulala uwanjaniiii ,wengine wanafanya window shopping tili lii lii iii,wengine wanakula kwa samaki na wengine chapati na ng'ombe eee nimeelewa ee nimeelewa nimejua kuwa mwisho wa mweziii. CC: Mtambuzi, Judgement ankara bado kuleta maneno?

Ulikuwa unaongea na nani usiku jana we The secretary?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom