Mwaaaaaaah
Mwaaaaaaah
Love you The secretary wangu
Mabinti kama kina cacico, snowhite, gfsonwin, @nivea, @FP, lara 1, Asnam, King'asti, Lisa, Madame B, Neylu, Mrembo by Nature, MwanajamiiOne, Husninyo, Paloma wakijua niko pande hizi hawakawii kutia timu, ngoja nijikusanye nitudi zangui kiotani, maana naanza kuhisi mfuko unakuwa mwepesi..... Isije ikala kwangu
Nimekoma ila kwangi kila siku ni mwisho wa mwezi njoo kwangu uachane na pesa za mawazo za Bishanga
Pouwa mi niko na huyu mama ndio tunaangalia tukalale kwake au kwangu maana kwake mumewe mtalakwa hakawii kuja ghafla hope tutaenda kwangu. The secretary twende zetu tukapambane na joto hadi kielewekemim naingia sinza makaburin nichukue mtoto wa usikuWA Leo.
Anza wewe!Mrudie muumba wako katika siku za ujana wako alichokiumba Mungu binadamu hasikitenganishe
Pouwa mi niko na huyu mama ndio tunaangalia tukalale kwake au kwangu maana kwake mumewe mtalakwa hakawii kuja ghafla hope tutaenda kwangu. The secretary twende zetu tukapambane na joto hadi kieleweke
Dah mi nilikuwa Makaburini nimejitwika ndovu zangu niko najihisi namimi ni mmoja wao
Ungenikuta aisee na unapoingia tu ungegundua nipo humo!Dah.......kumbe ningekuja ningekukuta.......nilighairi nikaenda zangu Lenana........