Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

Urantia Book nimeisoma mara tano ,au mara kumi,au mara kumi na tano,au zaidi.
Kuhusu hiki kitabu nadhani No Comment is the best comment.
There is nothing special about the book. There are some inaccuracies.
Jambo moja ni significant. Wanasema ata the Center of creation,there an Island ,a Physical Island called "Paradise" ambako Mungu anaishi. Hili jambo linapata support kwenye Maandiko mengine .
Nilikuwa New Mexico( Marekani),nimealikwa katika nyumba ya mtu,kwenye shelf niliona pale kitabu,"How the Urantia Book was written". Hiki kitabu nakitafuta kwenye internet,sikionj,jambo ambalo linanifanya nifikirie labda Urantia Book imeandikwa na watu wahuni.
Haya mambo labda ni somewhat important lakini kama unataka spirituality labda usome Tsongkapa,The Great Ecposition of Secret Mantra au Six Yogas of Naropa.
I notice Ile posting iliyokuwepo hapa sasa hivi ya yule mtu anatrack safari za ndege ya Rais Samia imeondolewa JF. Nilikuwa nimedown ile app ya Live Flighf Tracking,nilikuwa sasa naitafuta namba ya ndege ya rais wetu mpendwa( mpendwa na Dunia yote).
Mmhhhh hujaeleweka aisee.Yawezekana akili yangu ndogo ime jam au umeandika hovyo ulichokiandika ukachanganya changanya sana kwa makusudi usieleweka nini hasa unataka ku wasilisha hapa
 
Hivi mnasomaje vitabu,
Ninapenda kusoma vitabu ila sipo serious,
Mwaka jana Big Bad Wolf walikuja Tz pale Diamond Jubilee, nilienda nikanunua vitabu vya almost 100,000 na nimesoma kimoja na sijafika hata 10 pgs🥺
NAmna ya kusoma kitabu ni simple na kwakifupi ni replacement ya matumiz ya simu.
1. Kama unavyobeba simu kila asubuh basi chukua na kitabu chako weka kwenye mkoba/bag.

2. Kwasis watuamiaji wa daladala, kama vile ambavyo tunaperuzi simu tukiwa kwenye folen kuvuta muda kufika kazini basi badala ya simu fungua kitabu soma page chache..

Kwakifupi ule muda unaotumia sana kuoita mitandaoni, basi u replace kwa kuweka simu pembeni na kusoma kitabu.

Hii ni namna moja wapo ya kujijengea uraibu wa kusoma maana hakuna siku itatokea umepata muda special kwaajili ya kusoma kitabu
 
Karibu,ulikuwa unakitafuta ili ukisome hiki kitabu,ulikisikia mahali au?
Yaaah nasomaga vitabu nilisikia sehemu ila mimi ni tomaso so huwa napenda kujihakikishia mwenyewe... Sababu reading is fun to mental healthy
 
NAmna ya kusoma kitabu ni simple na kwakifupi ni replacement ya matumiz ya simu.
1. Kama unavyobeba simu kila asubuh basi chukua na kitabu chako weka kwenye mkoba/bag.

2. Kwasis watuamiaji wa daladala, kama vile ambavyo tunaperuzi simu tukiwa kwenye folen kuvuta muda kufika kazini basi badala ya simu fungua kitabu soma page chache..

Kwakifupi ule muda unaotumia sana kuoita mitandaoni, basi u replace kwa kuweka simu pembeni na kusoma kitabu.

Hii ni namna moja wapo ya kujijengea uraibu wa kusoma maana hakuna siku itatokea umepata muda special kwaajili ya kusoma kitabu
Asante jirani, nitafanyia kazi
 
Mmhhhh hujaeleweka aisee.Yawezekana akili yangu ndogo ime jam au umeandika hovyo ulichokiandika ukachanganya changanya sana kwa makusudi usieleweka nini hasa unataka ku wasilisha hapa
[emoji38][emoji38][emoji28]
 
Hivi mnasomaje vitabu,
Ninapenda kusoma vitabu ila sipo serious,
Mwaka jana Big Bad Wolf walikuja Tz pale Diamond Jubilee, nilienda nikanunua vitabu vya almost 100,000 na nimesoma kimoja na sijafika hata 10 pgs[emoji3064]
Soma vitabu ambavyo vina maudhui unayopenda itakuwa rahisi kukuvutia,kingine tumia muda wa ziada kusoma ukiwa pekeyako bila usumbufu maana ukikaa na watu hawaishi michapo ya hapa na pale utajikuta unashidwa kupata utulivu

Btw hao Big Bad Wolf ni kina nani?
 
Mungu gani? Mimi naanzia kwa kummulika huyu Mungu anayesemwa kwamba ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Huyu ndiye aliyeandikwa katika Quran na Biblia na dini nyingine, na falsafa nyingine.

Huyu kaangaliwa katika mantiki kaonekana katungwa na watu tu, hayupo katika uhalisia.

View attachment 2586703
1. Tafadhali nijibu maana ya neno Mungu na sio zifa zinazosemwa na wafuasi wa dini mbalimbali.

2.mantiki!! Mantiki ipi iliyo tumika hapo
 
Aisee,nuksi tena sio baraka?
Ndio mkuu yapo ya kuyasoma unatakiwa uwe katika hali fulani mfano uwe umefunga na umejitakasa kweli, sasa bila kujua ukaparamia utaona kimbembe mfano soma pdf ya enochian book of wonder.
::at your own risk::
 
Gifted people ni watu ambao wamepata bahati ya Kuzaliwa kama Binadamu lakini wako AWARE NA LIFE PURPOSE YAO.

Hawa watu wako very powerful...kwa Sababu SPIRIT ZAO ZINAWALETEA MESSAGE KAMA ZINAVYOTAKIWA KUWA!

SPIRIT za watu kama hao zinapokea Communique kutoka kwa fellow beings kwa Sababu wanaweza kuzipokea.

Hawa wanaitwa Spiritual Enlightened people!

Na wanaweza kuwasiliana na Other Beings ambao huitwa A Highly Evolved Beings-Hawa wako wengi sana na wanatuzidi sana uwezo..!

So it good to read the Book!
Ila hata wewe unaweza kuamaka kwa njia mbalimbali kama kufanya meditation ,sala , na kuwa na upendo tu kama mother Teresa wa calcutas
 
1. Tafadhali nijibu maana ya neno Mungu na sio zifa zinazosemwa na wafuasi wa dini mbalimbali.

2.mantiki!! Mantiki ipi iliyo tumika hapo
Mungu ni neno la hadithi za kutungwa na watu tu, hayupo nje ya hizo hadithi.

Hana tofauti na character mwingine yeyote wa kutungwa, kama 007 James Bond wa Ian Fleming au Willy Gamba wa Aristablus Elvis Musiba.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo katika uhalisia nje ya hadithi za kutungwa.
 
Hujajibu hapo kipengere cha 2

Mungu ni neno la hadithi za kutungwa????????? Are serious , dictionary gani imetafasiri hivyo au Ni mafikirio yako
 
Ndio mkuu yapo ya kuyasoma unatakiwa uwe katika hali fulani mfano uwe umefunga na umejitakasa kweli, sasa bila kujua ukaparamia utaona kimbembe mfano soma pdf ya enochian book of wonder.
::at your own risk::
Du!,aisee kumbe
 
Back
Top Bottom