Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

..hata wanaoamini vitu (kama ng,ombe) pia waamini kuna higher power beyond hivi vitu...na ndiyo essence ya hiki kitabu rejea nlichokwambia usome...na hujakielewa hadi sasa....soma bro.....
Hujajibu swali uliloulizwa, na swali ulilojibu hujaulizwa.

Nakuuliza hivi, mtu akiamini ng'ombe ni Mungu aliyeumba ulimwengu na vyote, hiyo imani inamfanya ng'ombe awe kweli Mungu aliyeumba ulimwengu na vyote?
 
Mkuu hebu jibu hili swali Nini maana ya Mungu?
Mungu gani? Mimi naanzia kwa kummulika huyu Mungu anayesemwa kwamba ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Huyu ndiye aliyeandikwa katika Quran na Biblia na dini nyingine, na falsafa nyingine.

Huyu kaangaliwa katika mantiki kaonekana katungwa na watu tu, hayupo katika uhalisia.

epicurean_paradox.jpg
 
Vitabu zenye ideas za kufikirika ndio hivyo Sasa
 
Urantia Book nimeisoma mara tano ,au mara kumi,au mara kumi na tano,au zaidi.
Kuhusu hiki kitabu nadhani No Comment is the best comment.
There is nothing special about the book. There are some inaccuracies.
Jambo moja ni significant. Wanasema ata the Center of creation,there an Island ,a Physical Island called "Paradise" ambako Mungu anaishi. Hili jambo linapata support kwenye Maandiko mengine .
Nilikuwa New Mexico( Marekani),nimealikwa katika nyumba ya mtu,kwenye shelf niliona pale kitabu,"How the Urantia Book was written". Hiki kitabu nakitafuta kwenye internet,sikionj,jambo ambalo linanifanya nifikirie labda Urantia Book imeandikwa na watu wahuni.
Haya mambo labda ni somewhat important lakini kama unataka spirituality labda usome Tsongkapa,The Great Ecposition of Secret Mantra au Six Yogas of Naropa.
I notice Ile posting iliyokuwepo hapa sasa hivi ya yule mtu anatrack safari za ndege ya Rais Samia imeondolewa JF. Nilikuwa nimedown ile app ya Live Flighf Tracking,nilikuwa sasa naitafuta namba ya ndege ya rais wetu mpendwa( mpendwa na Dunia yote).
Naona apps ni ya kulipia au ata free inafaa
 
Sawa,endelea kusoma huenda utapata mengi zaidi,chapter 4 inazungumzia Yesu alikuwa anafanya nini ndani ya miaka 18 ambayo haijaandikwa kwenye bibilia,hapo unahisi alikuwa na elimu gani?
Hiki ndo nakitaka zaidi
 
Majini huwa hawawatokei wazungu,au ni mwarabu ?
 
Hivi mnasomaje vitabu,
Ninapenda kusoma vitabu ila sipo serious,
Mwaka jana Big Bad Wolf walikuja Tz pale Diamond Jubilee, nilienda nikanunua vitabu vya almost 100,000 na nimesoma kimoja na sijafika hata 10 pgs🥺
 
Back
Top Bottom