Kuna muda ni lazima ufanye maamuzi magumu,

Kuna muda ni lazima ufanye maamuzi magumu,

Ni kweli kabisa maamuzi magumu yanakufanya uonekane mwenye kuijua samani yako kuna jamaa mmoja alikuwa anateseka sana na demu wake jamaa akawa anatafuta njia ya kumuacha demu anashindwa mara afute namba yake demu akikaa siku mbili tu anaanza kumpigia tena yaani anateswa ile mbaya

Sio wewe huyu [emoji23][emoji23]
 
Endelea na jeuri hiyohiyo utaendelea kucheza kiduku kwenye harusi za wenzako mpaka miguu iote viazi...dadekii
Kuna tofauti kubwa sana kati ya jeuri na kujipa thamani..!
 
Back
Top Bottom