Kuna muda ni lazima ufanye maamuzi magumu,

Kuna muda ni lazima ufanye maamuzi magumu,

Hizi mambo za kujipendekeza pendekeza kwa watu ambao hawana muda na mimi nilishaacha muda sana.

Maswala ya kujifanya Yesu nimeshaacha muda sana.

Now i understand my values and i follow them in every step.

Now days my life is more of reciprocality! i treat people in exact dimension the way they treat me!
Nifundishe na Mimi kuwa hivi
 
umeandika point tupu....ila ni ngumu sana mtu kukuelewa hapo...unajua mtu akipenda anakuwa Zaidi ya kipofu haoni asikii...ni wachache sana watakuelewa hapo
 
Pole sana Mkuu sema usijali malipo ni hapa hapa duniani nakumbuka niliwahi kuwafanyia watoto wa watu kama wanne hiv ambao kiuhalisia walikuwa na sifa zote za kuitwa wife material lakin nikaja nikatumbukia kwenye penzi la kichwa flan hiv sio hela sio mwili vyote nilipoteza lakin namshukuru mungu mmoja kati ya wale wanne aliniokoa
Wanaume huwa mna matatzo.
Tunajitahidi kuwapa attention lakini ham appreciate
 
Huwa na kimoyo Fulani cha kusoma gap na kupuuzia hata awe kaka yangu wa damu akiwa wa aina hii huwa na tia X tu
 
Kuna watu wengine ni ngumu kujinasua kwenye hiyo hiyo circle inayowa shusha thamani maana maisha yao ndio yanapoegemea!

mfano mtu kama kangi lugola au lemutuz
Hapo mwisho nimepaelewa!!
 
mfano mzuri ni kama P-Funk majani jamaa ana dharau kinyama na anajiona sana, lakini angalia jinsi watu wanavyomuheshimu na kumkubali
Nimependa huu mfano hasa mkuu!!
Sometimes kuwa na shobo kuna raqha yake.!!
 
Kwa kifupi ili uwe rafiki yangu ni lazima tuwe tunafanya mipango ya kutuingizia pesa tu,mambo ya kupiga story za kijinga sinaga,ukinipigia tu ukimaliza salamu inabidi unipe dili,ni lazima tufanye kitu kwa ajili ya uchumi ujinga mwingine no no
Itatuchukua muda sana na wengine kulitambua na kuliishi hili,
Lazima uwe na mipaka yako katika maisha ukitaka heshima!!
 
Back
Top Bottom