Kuna muda ni lazima ufanye maamuzi magumu,

Kuna muda ni lazima ufanye maamuzi magumu,

umeandika point tupu....ila ni ngumu sana mtu kukuelewa hapo...unajua mtu akipenda anakuwa Zaidi ya kipofu haoni asikii...ni wachache sana watakuelewa hapo
Itawachukua muda ila yakikukuta makubwa unashangaa unapata akili mwenyewe,
Tulipenda pia ila tuliowapenda walitufunza jinsi ya kuji control.!!
 
Nifundishe na Mimi kuwa hivi

-Set your own standards and don’t lower them just to impress others

-hold high self-esteem anytime and anywhere you go!

-kila unachokifanya angali kwanza kama kina maslahi kwako hata kama mnashirikiana na mwingine.

-Pia jitahidi kusoma vitabu hasa 48 LAWS OF POWER! kitakushape vizuri sana kuelewa thamani yako na kukupa confidence! hicho kitabu kimewasaidi hata watu maarufu duniani kama 50 cents!

-pia usiwe conformist wa kila kitu, muda mwingine uwe unatest kuwa kinyume na majority hasa kwenye mijadala!
 
Ni kweli kabisa maamuzi magumu yanakufanya uonekane mwenye kuijua samani yako kuna jamaa mmoja alikuwa anateseka sana na demu wake jamaa akawa anatafuta njia ya kumuacha demu anashindwa mara afute namba yake demu akikaa siku mbili tu anaanza kumpigia tena yaani anateswa ile mbaya
 
Jambo la msingi ni kuwa na circle ndogo ya watu muhimu. Tabia kuu ya mtu mnafki ni kuwa rafiki wa kila mtu.
 
Inaumiza Sana.
Unamtafuta mtu ,unampa attention yeye anakujibu anavyojiaikia .Hakika inaumiza sana
Know your values, set your standards and follow them mumie, Hutoteseka tena I am telling you..!!
 
Jambo la msingi ni kuwa na circle ndogo ya watu muhimu. Tabia kuu ya mtu mnafki ni kuwa rafiki wa kila mtu.
Exactly mkuu..!!
A true and small circle is what matters the most.!!
 
Ni kweli kabisa maamuzi magumu yanakufanya uonekane mwenye kuijua samani yako kuna jamaa mmoja alikuwa anateseka sana na demu wake jamaa akawa anatafuta njia ya kumuacha demu anashindwa mara afute namba yake demu akikaa siku mbili tu anaanza kumpigia tena yaani anateswa ile mbaya
Huyo akipona hapo atakuwa mtu khatari zaiidi..
 
Muda wa ku-please watu ndio kitu sina asee...mpaka naitwa mkorofi...binadamu sio wa kuwaendekeza arif
 
Hi guys,
Hope mpo poa,
Nimejikuta natamani tu kuongea na wale ndugu zangu ambao wanateseka mno na social life iwe kwa mahusiano ama urafiki.!!
Kuna watu wanaishi maisha magumu mno tena kwa kuchagua wenyewe, Just imagine mtu yupo kwenye uhusiano ambao, Ni yeye kila siku ndo awe wa kwanza kupiga simu yeye awe wa kwanza kutuma msg, asipofanya hivyo it means hakuna kuwasiliana mpaka yeye ajizugishe kufanya hivyo tena huku moyoni anaumia..!
Ama unakuta mtu ameganda kwa urafiki ambao wewe ndo una kazi ya kumjulia khali mwenzio mara zote, yeye hata siku moja hajisumbui kufanya hivyo, Na siku akikutafuta ujue amekwama na ana shida ya pesa huku akijua kabisa hapati msaada kwingine, Kwako wewe hata kama huna ni lazima ujipige pige mpaka umtatulie, Ubaya hawa marafiki wa hivi utamu wao ni ukwame wewe, Hawatokusaidia la jua ama la mvua!! Lakini mwenzangu hujifunzi kila siku shobo hazikuishi kujipendekeza kwa mtu ambaye uko invisible kwake, the only moment una exist ni muda pekee ana shida zake binafsi na wewe ndo kimbilio lake pekee..!!
Na bado mtu unakaa unaumia kwa aina hiyo ya watu, ambao kwako wewe ni wa muhimu lakini wewe kwenye maisha yao wewe ni wa ziada, uzuri wanakuonyesha kabisa ila ndo umeganda hapo husikii la mnadi swala wala sauti za kanisa afe kipa afe beki umegandana hapo huku ukikazana tu kujichoresha.!!
Hebu ifikie pahala mtu ujifunze ku balance shobo, ijue mipaka yako, ijue thamani yako,
Jua wewe ni nani, na kwanini upo ulipo, Jifunze
kujiheshimu mwenyewe sababu ukijiheshimu ni ngumu sana mtu atoke alikotoka aje kukuona huna thamani, Usiruhusu hata siku moja mtu akuchukulie poa, Jitahidi hiyo nafasi asiipate sababu kiuhalisia nafasi za kudhauraulika tunazitengeneza wenyewe.!!
You're very much better than that and you deserve to be treated accordingly..!!
Eid Mubarak..!!
Endelea na jeuri hiyohiyo utaendelea kucheza kiduku kwenye harusi za wenzako mpaka miguu iote viazi...dadekii
 
Back
Top Bottom