Kuna muda ni lazima ufanye maamuzi magumu,

Kuna muda ni lazima ufanye maamuzi magumu,

I love it..!!.
Na huu ndo huwa wakati watu sasa wanaanza kuiona thamani yako kumbe jua limeshazama.!!

Aisee mimi thamani yangu naitambua sana sasa hivi,

Halafu ukiitambua thamani yako hata wanaokuzunguka nao watatambua uthamani ulionao! ndio maana watu wabinafsi wana heshimiwa kuliko hata wasiokuwa wabinafsi
 
Nishapunguza wingi wa marafiki tangu nigundue kwenye maisha aya nataka nini..ukweli mchungu kupoteza muda wako na resource zako mingi kutoa furaha na kumjali mtu bila returns yoyote inakera sana

Nimejua ku balance shobo zangu na mambo yako yana run smoothly ,nagharamikia bata zangu mwenyewe ,naenjoy adi ku spend nacho kipata
 
you nailed it mkuu na huo sasa ndo uhalisia, Mtazame mtu mwenye shobo vile watu hawamshobokei, halafu yule ambaye hana shobo na mtu watu ndo wanamuelewa hasa!
 
Hongera sana mkuu, na ni wachache sana ambao wamekwishajitambua wengi bado wanazunguka kwenye zile circle na zinawatesa ila kujinasua ndo hakuna!!
 
Hongera sana mkuu, na ni wachache sana ambao wamekwishajitambua wengi bado wanazunguka kwenye zile circle na zinawatesa ila kujinasua ndo hakuna!!

Kuna watu wengine ni ngumu kujinasua kwenye hiyo hiyo circle inayowa shusha thamani maana maisha yao ndio yanapoegemea!

mfano mtu kama kangi lugola au lemutuz
 
you nailed it mkuu na huo sasa ndo uhalisia, Mtazame mtu mwenye shobo vile watu hawamshobokei, halafu yule ambaye hana shobo na mtu watu ndo wanamuelewa hasa!

mfano mzuri ni kama P-Funk majani jamaa ana dharau kinyama na anajiona sana, lakini angalia jinsi watu wanavyomuheshimu na kumkubali
 
Hi guys,
Hope mpo poa,

Nimejikuta natamani tu kuongea na wale ndugu zangu ambao wanateseka mno na social life iwe kwa mahusiano ama urafiki.!!

Kuna watu wanaishi maisha magumu mno tena kwa kuchagua wenyewe, Just imagine mtu yupo kwenye uhusiano ambao, Ni yeye kila siku ndo awe wa kwanza kupiga simu yeye awe wa kwanza kutuma msg, asipofanya hivyo it means hakuna kuwasiliana mpaka yeye ajizugishe kufanya hivyo tena huku moyoni anaumia..!

Ama unakuta mtu ameganda kwa urafiki ambao wewe ndo una kazi ya kumjulia khali mwenzio mara zote, yeye hata siku moja hajisumbui kufanya hivyo, Na siku akikutafuta ujue amekwama na ana shida ya pesa huku akijua kabisa hapati msaada kwingine, Kwako wewe hata kama huna ni lazima ujipige pige mpaka umtatulie, Ubaya hawa marafiki wa hivi utamu wao ni ukwame wewe, Hawatokusaidia la jua ama la mvua!! Lakini mwenzangu hujifunzi kila siku shobo hazikuishi kujipendekeza kwa mtu ambaye uko invisible kwake, the only moment una exist ni muda pekee ana shida zake binafsi na wewe ndo kimbilio lake pekee..!!

Na bado mtu unakaa unaumia kwa aina hiyo ya watu, ambao kwako wewe ni wa muhimu lakini wewe kwenye maisha yao wewe ni wa ziada, uzuri wanakuonyesha kabisa ila ndo umeganda hapo husikii la mnadi swala wala sauti za kanisa afe kipa afe beki umegandana hapo huku ukikazana tu kujichoresha.!!

Hebu ifikie pahala mtu ujifunze ku balance shobo, ijue mipaka yako, ijue thamani yako,
Jua wewe ni nani, na kwanini upo ulipo, Jifunze
kujiheshimu mwenyewe sababu ukijiheshimu ni ngumu sana mtu atoke alikotoka aje kukuona huna thamani, Usiruhusu hata siku moja mtu akuchukulie poa, Jitahidi hiyo nafasi asiipate sababu kiuhalisia nafasi za kudhauraulika tunazitengeneza wenyewe.!!

You're very much better than that and you deserve to be treated accordingly..!!

Eid Mubarak..!!
Kwa kifupi ili uwe rafiki yangu ni lazima tuwe tunafanya mipango ya kutuingizia pesa tu,mambo ya kupiga story za kijinga sinaga,ukinipigia tu ukimaliza salamu inabidi unipe dili,ni lazima tufanye kitu kwa ajili ya uchumi ujinga mwingine no no
 
fact umeongea
Apo kwenye kutafuta afu utafutwi inauma sana unakua unajua kabisa hmna upendo ila ndo ivo wengine hatuachi mbaka awepo wa kureplace...kukaa siku nzima bila mawasiliano!!!sad.
 
Mimi nina falsafa tangu moja ukinitumia message Hata saa saba ya usiku nitakujibu ukipiga simu hivyo hivyo na muda mwingine huwa nakumbuka wanikumbukao lakin ukiuchuna wiki afu ukaja ukanitafuta aisee utakutana na swali wewe nani vile!!?
Kuna mtu unamtafuta hakujibu,unampigia hapokei .
Heri yako wewe unayekumbuka kujibu
 
Back
Top Bottom