Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 7,284
- 11,780
1/ Dunia ya leo, upendo wa kweli ni nadra. Watu wengi wanaishi maisha ya ku-pretend tu. Ukiwa na mtu, akagundua hawezi kupata kitu, huondoka. Hii ndio ukweli wa mahusiano.
2/ Wengi wanafanya ndoa kwa sababu ya pressure ya jamii au familia. Lakini ndani, maisha yao ni siri na maumivu. Wake na waume wanacheza show ya furaha mbele ya jirani na familia. Ndoa ni show, furaha halisi haipo.
3/ Matukio ya ukatili wa kihisia yameongezeka. Baadhi wanandoa wanaingia kwenye mahusiano ya siri au kushirikiana kihisia na wengine kwa sababu ya mzigo wa kifamilia.
4/ Wakati mwingine ndoa inakuwa biashara: nyumba, gari, pesa, biashara. Upendo wa zamani unapotea kwenye hesabu za kifedha. Furaha halisi haipo, ndoa inakuwa deal, sio hisia.
5/ Kuna waliopo kwenye ndoa wakimpa heshima zaidi baba wa kiroho kuliko mume au mke. Upendo unakosa nafasi. Mume au mke anahisi upweke, furaha halisi inapotea.
6/ Kwa hivyo, mtu akiniuliza “ntaoa lini?” ni sawa na kuuliza “ntapoteza furaha yangu lini?” Furaha ya kweli haipatikani kwa pretending, pressure ya jamii au heshima ya mtu mwingine. Inahitaji uaminifu, mazungumzo ya kweli, na upendo halisi.