Kuna muda askari tigo ni waelewa

Walikukamata kwa kosa gani?,Au walifika tu nakuanza kudai pesa?
Wenyewe wanamkamata boda yoyote ndio wanaanza kumkagua...hata trafiki anapokusimamisha Sio mpka ameona kosa yeye anakusimamisha na kukukaguwa
 
Nimetoka kukamatwa na askari tigo wale wanaopakizanaga kwenye pikipiki...kwanza picha linaanza Mimi mwenyewe nimeishiwa mafuta ndio nimetoka kumshusha abiria wangu achukue usafiri mwingine ..wakati napiga hesabu ninaeendaje Petro station Sina hili Wala lile Mara jamaa hao...walivofika sikuwa na Chochote zaidi ya kusema tu Sina hela yoyote ila pikipiki hii hapa Kama mnanipeleka polisi sawa...wakasema sawa hakuna shida ngoja tukupige mguu Hadi kituoni...nikawaambia sawa

Wakaanza kuniambia ko huna hela yoyote Ile ..mi nikawajibu Sina Nina 3500 tu ndio hio ya mafuta na ndio nilitaka nisukume pikipiki hadi sheli,...bhasi wakaachana na mimi wakaenda zao...kiukweli wamenishika Sina hela yoyote Ile wamekosa namna..
maskini mwaminifu mwenye nia ya kutoa rushwa,
ukweli una mnamsaidia kujinasua na kuonekana hana hatia mikononi mwa watumishi wa umma wasio waaminifu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom