nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 472
- 637
mimi rafiki yangu wa damu kabisa
sasa huyo sijui dharau sijui kiburi au yuko kote tuMimi Mpenzi wangu kila nikitaka kumsamehe kosa alikonifanyia anafanya lingine tena..sijui ndo dharau au kiburi
Wewe ni ke au me"Kumama.yo, malaya mkubwa, unafi.rwa.".......uwiiiiii kila nikikumbuka haya matusi NAAPA SITAMSAMEHE ASLANI
Umetutukana sisi sasa!"Kumama.yo, malaya mkubwa, unafi.rwa.".......uwiiiiii kila nikikumbuka haya matusi NAAPA SITAMSAMEHE ASLANI
Unapanga kujiunga na jeshi la shetanimimi baba mdogo wangu, sitamsamehe hadi nilipe kisasi kwake.
Shetani ndie nani?Unapanga kujiunga na jeshi la shetani
Hapana mimi ndie alinitukana hivyo, sitamsahamehe kamweeeeUmetutukana sisi sasa!
Kuna mdogo wangu huwa najiuliza kama ni kweli nimemsamehe au la maana mapenzi niliyokuwa naye kwake yamepukutika kabisa hata nikijitahidi nashindwa
Alikukosea nini..!??
Aliniibia kitu kidogo tu lakini alinisababishia usumbufu mkubwa mno. Of course nilihisi kaiba yeye nakampotezea nikajua labda alikuwa na shida....imepita miaka tumeshakuwa watu wazima kabisa nikamsikia anajitapa kwa watu eti aliniibia makusudi ili anikomoe tu. Yaani amenitoka
Ni kweli mkuu umejuajeHuyo si mdogo wako wa kuzaliwa nae bila shaka...