Kuna mtu wako wa karibu umeshindwa kumsamehe kwa alichokufanyia

Pole sana kwa mafadhaiko uliyokuwa nayo kipindi hicho.... Ila naamini kwa sasa yameisha, kikubwa kinachokusumbua ni kutokusahau hilo tukio...
Suala la kuniibia nilisamehe ila dhamira ya kuniibia ndio iliyoniumiza, kila siku najiuliza nilimkosea nini?
 
Nimehisi tu kuwa si wakuzaliwa nae kutokana na maelezo yako..

Kuna mawili

1: Ulikuwa ukiishi kwao
2: Alikuwa akiishi kwenu

Alikuwa anakupima imani, aone reaction yako endapo ungegundua wizi wake... Thanks to God ulikuwa mvumilivu...
Ni kweli mkuu umejuaje
 
Alikuwa anaishi kwetu, tena kitu alichoniibia niliweka chumbani kwa wazazi akaingia kufukunyua loh
 
Busara ulizotumia kumsamehe baada ya kugundua kwamba alikuibia hizo ndio zitumie kusamehe dhamira yake na usahau kuhusu hilo maishani mwako...

Sawa utasema hamchukii... Lakini kinyongo ulichonacho moyoni mwako juu ya dhamira yake, inajenga kero, hasira na maudhi juu yake, inapelekea kuwa na chuki juu yake moyoni mwako...

Je unapenda kumchukia mtu kwa kosa lake la ubinafsi wake...??
Suala la kuniibia nilisamehe ila dhamira ya kuniibia ndio iliyoniumiza, kila siku najiuliza nilimkosea nini?
 
Yani mpaka sijisikii kusema.

Ni sister angu wakuzaliwanae kabisa.
1-Nikiwa darasa la tatu aliniambia iwe isiwe
atahakikisha ninatangulia kuingia kwenye
udongo.

2-Aliwahi kuniambia kuwa ipo siku isiyo na jina
mimi nitampigia magoti, nitamshika miguu.

Mungu alivyo wa ajabu, mwaka 2016 yeye ndo aliyenipigia magoti na kunishika miguu japo hiki kitendo huwa natamani kisingetokea maana ni mtu mzima, amenizidi miaka 7. It's not good at all yeye kunishika miguu mimi.
 
Kwa kweli najitahidi sana, lakini pia najiuliza ni mambo mangapi ameyafanya kwa lengo la kunikomoa? Mbaya zaidi nilikuwa namuona bonge la mtu, hata mama alivyoniambia hii kitu atakuwa ameiba H nilimkatalia katakata kwa jinsi alivyokuwa anaonekana mtaratibu kumbe mwenye mtoto wake anamjua. Hivi juzi nilikuwa naongea na mama akanipa simu niongee na wifi, nimemaliza nae ananiambia wifi H yupo hapa msalimie nikamwambia sina salio, msinikaushe uzazi.
Busara ulizotumia kumsamehe baada ya kugundua kwamba alikuibia hizo ndio zitumie kusamehe dhamira yake na usahau kuhusu hilo maishani mwako...

Sawa utasema hamchukii... Lakini kinyongo ulichonacho moyoni mwako juu ya dhamira yake, inajenga kero, hasira na maudhi juu yake, inapelekea kuwa na chuki juu yake moyoni mwako...

Je unapenda kumchukia mtu kwa kosa lake la ubinafsi wake...??
 
Aisee ni hatari sana...

Lakini haijalishi mangapi amekufanyia, yale uliyoyajua na ambayo hukuyajua...

Moyo wako unathamani kubwa sana kwako... Hilo jambo kuendelea kuwepo moyoni mwako, linaziba nafasi ya jambo lingine ambalo ni muhimu sana katika maisha yako kuwepo ndani ya moyo wako...

Acha liende, litoe moyoni mwako ili uruhusu jambo lingine muhimu...

Upe thamani moyo wako...
Kwa kweli najitahidi sana, lakini pia najiuliza ni mambo mangapi ameyafanya kwa lengo la kunikomoa? Mbaya zaidi nilikuwa namuona bonge la mtu, hata mama alivyoniambia hii kitu atakuwa ameiba H nilimkatalia katakata kwa jinsi alivyokuwa anaonekana mtaratibu kumbe mwenye mtoto wake anamjua. Hivi juzi nilikuwa naongea na mama akanipa simu niongee na wifi, nimemaliza nae ananiambia wifi H yupo hapa msalimie nikamwambia sina salio, msinikaushe uzazi.
 
Sijui inakuwaje unashindwa kumsamehe mtu but huenda inatokea labda.. ila kwa mimi Msamaha unaupata vizuri tu sema tu ndo kama ni ushkaji ushakufa.. hatuwezi kuwa kama mwanzo tena!
 
Sikumuambia wala kumuonya chochote maana tunavyotafuta nae alikuwa anaona. Mtu mwenyewe tunalingana tu hata sio mdogo wa kusema nitamuonya
Basi ni ulimbukeni wa maisha tu ndio ulikuwa unamsumbua.... Huenda yeye aliona unapendwa zaidi, akajawa na wivu.. akaona akifanya hivyo atakuharibia... au pia ilikuwa ni tabia yake aliyoizoea.... Jaribu kusahau hilo,
 
Aisee ni hatari sana...

Lakini haijalishi mangapi amekufanyia, yale uliyoyajua na ambayo hukuyajua...

Moyo wako unathamani kubwa sana kwako... Hilo jambo kuendelea kuwepo moyoni mwako, linaziba nafasi ya jambo lingine ambalo ni muhimu sana katika maisha yako kuwepo ndani ya moyo wako...

Acha liende, litoe moyoni mwako ili uruhusu jambo lingine muhimu...

Upe thamani moyo wako...
Amen mkuu
 
Basi ni ulimbukeni wa maisha tu ndio ulikuwa unamsumbua.... Huenda yeye aliona unapendwa zaidi, akajawa na wivu.. akaona akifanya hivyo atakuharibia... au pia ilikuwa ni tabia yake aliyoizoea.... Jaribu kusahau hilo,
Nimemsamehe ila haiwezekani kurudi kama zamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom