Kuna mtu anatumia gmail acc yangu

Kuna mtu anatumia gmail acc yangu

Kwani TCRA majukumu yake ni yapi...nimempa jibu fupi lakini sahihi...mawasiliano yako yapoingiliwa na mtu suluhu itapatikana TCRA
Unajua ulivyomwambia akufumie picha kama alipata uhakija kwamba unamsaidia sasa wewe alipokuamvia picha hawezi tuma!!jibi ulilompa ulimkata maini maana hakutegemea kama ungemjibu short hivyo!!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mkuu pole kwa mjibu uliopewa duu haki mungu nimecheka sana!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mambo unayoyapenda ayo
 
Ongezea ulinzi wa email yako kwa kufanya activation "2nd step verification"

JINSI YA KUFANYA

1. Login kwenye account yako.

2. Ingia kwenye hii link: https://www.google.com/accounts/SmsAuthConfig

3. Fuata maelekezo

Ambapo kila utakapo ku_ login in katika email yako utapokea codes kwa sms/ au voice call kupitia namba ya simu utakayojaza.

Ahsante sana teacher kwa ushauri mzuri japokuwa kuna watu humu hawajui lolote lkn wanalazimika ku koment ili waonekane kila Uzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom