Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

Chikolombe

Member
Jul 23, 2020
36
69
Mimi ni kijana niliye maliza masomo yangu mwaka huu, kipindi nikiwa chuo nilikuwa najiwekea akiba kutoka kwenye boom langu ili nikimaliza basi niwe na mtaji ili nianze kufanya biashara, nimefanikisha kuwa namtaji .TZS.1000000/= tarehe 2.9.2020 nilienda wilaya ya Simanjiro (Manyara)kijiji cha Kimotoroki kufata samaki aina ya kambale nilinunua samaki 2000 waliogharimu Tzs. 900000 hapo kuanzia manunuzi hadi kuwabanika kwa moto, niliwasafirisha hadi Dodoma kwenye soko la Chang'ombe ambapo niliwasiliana na boss ambaye alisema anachukua mzigo wote ananipa pesa yangu siku hiyo hiyo.

Tulifungua samaki akahesabu akapata samaki 1385 kati ya samaki 2000 kutokana na usafiri hao wengine walivunjika hivyo hawakuhesabiwa hiyo ilikuwa tarehe 18/9/2020, kwa samaki 1835 ilitakiwa anipe TZS. 900250 ila aliomba pesa yangu atanitumia baada ya siku tatu, basi kiungwana nikakubali mimi nikaondoka nikijua pesa atanitumia, hadi sasa hajanitumia pesa na nikimtafuta simu hapokei Wala SMS hajibu, Leo nimemtafuta kapokea kaniambia niende Dodoma nikafate samaki wangu.

Baada ya kumsumbua sana kuhusu pesa yangu, naomba msaada wenu wa mawazo mimi ni mtoto wa mvuvi tena mvuvi wa hali ya chini na mama anafanya uchuuzi wa samaki ila mara nyingi matapeli kama hawa wanatufanyia hivi tukipeleka mizigo sokoni.
 
Mimi ni kijana niliye maliza masomo yangu mwaka huu, kipindi nikiwa chuo nilikuwa najiwekea akiba kutoka kwenye boom langu ili nikimaliza basi niwe na mtaji ili nianze kufanya biashara, nimefanikisha kuwa namtaji .TZS.1000000/= tarehe 2.9.2020 nilienda wilaya ya simanjiro (manyara)kijiji cha kimotoroki kufata samaki aina ya kambale nili nunua samaki 2000 walio gharimu Tzs. 900000 hapo kuanzia manunuzi hadi kuwabanika kwa moto, niliwasafirisha hadi dodoma kwenye soko la chang'ombe ambapo niliwasiliana na boss ambaye alisema anachukua mzigo wote ananipa pesa yangu siku hiyo hiyo. Tulifungua samaki akahesabu akapata samaki 1385 kati ya samaki 2000 kutokna na usafiri hao wengine walivunjika hivyo hawakuhesabiwa hiyo ilikuwa tarehe 18/9/2020 , kwa samaki 1835 ilitakiwa anipe TZS. 900250 ila aliomba pesa yangu atanitumia baada ya siku tatu,basi kiungwana nikakubali mimi nikaondoka nikijua pesa ata nitumia hadi sasa hajanitumia pesa na nikimtafuta simu hapokei Wala sms hajibu, Leo nimemtafuta kapokea kaniambia niende dodoma nikafate samaki wangu ,baada ya kumsumbua sana kuhusu pesa yangu, naomba msaada wenu wa mawazo mimi ni mtoto wamvuvi tena mvuvi wa hali ya chini na mama anafanya uchuuzi wa samaki ila mala nyingi matapeli kama hawa wanatufanyia hivi tukipeleka mizigo sokoni
Biashara gani ya kukopesha halafu unapata faida ya 250/=
 
Mkuu Chikolombe
Umeshalala
Njoo Ujibu Huku Haraka, Unataka Uende Soko La Mavunde Ukachukue Samaki
 
Unafuaje Samaki Dodoma Wakati Mmeshafanya Biashara
Hapo Dodoma Hilo Soko Linaitwa Mavunde
Labda Ningependa Kujua Ulimpa Mzigo Mkiwa Mnafahamiana Ama Ikoje Hii

Kuna watu wakaribu yangu wanamfahamu pia hata mama alifanyanaye biashara miaka ya nyuma ila alimsumbua sana hivyo na mimi niliunganishwa na mtu mwingine ila mama ha kujua kama nimeuzia huyo mtu
 
We chikolembe banah umekua na akili ya kuitunza pesa, ila kwenye uwekezaji umepoteza umakini, huwezi kumwamini mtu hujawahi fanya nae biashara, uliangalia urahisi wa kuuza pasipo kujali uaminifu wa mtu unaempatia mzigo
 
Mimi ni kijana niliye maliza masomo yangu mwaka huu, kipindi nikiwa chuo nilikuwa najiwekea akiba kutoka kwenye boom langu ili nikimaliza basi niwe na mtaji ili nianze kufanya biashara, nimefanikisha kuwa namtaji .TZS.1000000/= tarehe 2.9.2020 nilienda wilaya ya simanjiro (manyara)kijiji cha kimotoroki kufata samaki aina ya kambale nili nunua samaki 2000 walio gharimu Tzs. 900000 hapo kuanzia manunuzi hadi kuwabanika kwa moto, niliwasafirisha hadi dodoma kwenye soko la chang'ombe ambapo niliwasiliana na boss ambaye alisema anachukua mzigo wote ananipa pesa yangu siku hiyo hiyo. Tulifungua samaki akahesabu akapata samaki 1385 kati ya samaki 2000 kutokna na usafiri hao wengine walivunjika hivyo hawakuhesabiwa hiyo ilikuwa tarehe 18/9/2020 , kwa samaki 1835 ilitakiwa anipe TZS. 900250 ila aliomba pesa yangu atanitumia baada ya siku tatu,basi kiungwana nikakubali mimi nikaondoka nikijua pesa ata nitumia hadi sasa hajanitumia pesa na nikimtafuta simu hapokei Wala sms hajibu, Leo nimemtafuta kapokea kaniambia niende dodoma nikafate samaki wangu ,baada ya kumsumbua sana kuhusu pesa yangu, naomba msaada wenu wa mawazo mimi ni mtoto wamvuvi tena mvuvi wa hali ya chini na mama anafanya uchuuzi wa samaki ila mala nyingi matapeli kama hawa wanatufanyia hivi tukipeleka mizigo sokoni
Ila chikolombe umezingua sana kuchoma mtaji wote kwa mtu usiemfahamu, unaanzaje kukuposha tena kwa mara ya kwanza tu
 
Kwahiyo akikupa hiyo pesa chikolombe unapata faida 250, je kuna ushahidi gani kuwa mlifanya biashara na huyo bwana, na je mliandikishana deni? Una ushahidi gani wa kumshtaki huyo bwana
 
Back
Top Bottom