Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

Dah pole sana mkuu, ila next time jifunze kufanya biashara ambayo ipo karibu nawe hata kufungua kibanda cha chipsi poa, hiyo biashara inahitaji wajuzi na wabobezi!
 
Ungekuwa na makazi hapo dodoma hata kwa kuomba kuishi kwa ndugu ungechakalika mwenyewe kuwasambaza kwa walaji au kwa wachuuzi sokoni kuliko hii njia uliyotumia ambayo ni rahisi kuingia kwenye mikono ya matapeli.
 
Ndo Nani?

IMG_3060.jpg


Huyo hapo Boss.
 
Hio biashara ina faida ila prosess zake zinasababisha faida kupungua hata kutishia mtaji,Ndio maana wale wenye nguvu ya mtaji ndio wanaendelea kufanikiwa kwa sababu wanazo nyenzo muhimu kwenye hilo zoezi, Endapo akikulipa badilisha biashara fanya baishara ambazo hazitishii maisha mtaji wako, Kama viatu, nguo,nk.
 
Maisha yamenifundisha unapoamua kumkopesha mtu basi amua mambo mawili aidha ufanye roho mbaya kuipata pesa au umsamehe. Ukifanya roho mbaya kuna mambo mawili pia upate chako au mdaiwa awe mjanja zaidi yako hapo unapata hasara mara mbili.

There is nothing in between. Chagua moja likufaalo hapo
 
Back
Top Bottom