Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

We chikolembe banah umekua na akili ya kuitunza pesa, ila kwenye uwekezaji umepoteza umakini, huwezi kumwamini mtu hujawahi fanya nae biashara, uliangalia urahisi wa kuuza pasipo kujali uaminifu wa mtu unaempatia mzigo

Huyu mtu anafanya biashara na watu ambao nawafahamu nakuna mmoja alitoka huko ndo akaniambia nenda ila nilikuwa nasafarisha songea
 
Pole, uliamini biashara ni rahisi!
Unaondoka unamuachia mzigo na pesa!

Wewe jasiri SANA, na ulimficha mamako juu ya soko, ukiamini, utapiga pesa ndefu, yeye mama hajui biashara.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Pole, uliamini biashara ni rahisi!
Unaondoka unamuachia mzigo na pesa!

Wewe jasiri SANA, na ulimficha mamako juu ya soko, ukiamini, utapiga pesa ndefu, yeye mama hajui biashara.

Everyday is Saturday.............................. 😎

Siku mficha kama unavyo dhani mkuu mama huko aliko mawasiliano shida hadi wa anze wao kukutafuta hivyo amenitafuta nikiwa nimisha uza
 
Umenikumbusha machungu Jamanii, hawa watu wa sokoni sio kabisa. Watu wa sokoni wengi ni matapeli

Sahihi wana jifanya matajiri kumbe madalali hawana pesa ila wamepanga meza ili kuwalipua watu wanao leta mizigo
 
Mkuu ha kusema anakopa pia hapo faida hakuna hata mia ila kwakuwa naanza biashara hasara nilikubali ila hii 900250 ilibidi nipate
Nenda haraka ukachukue pesa na sio mzigo.
Biashara huwezwa na mijitu jeuri, nrnda na sura ya kazi.
Madalali ni matapeli.. mlikubaliana siju 3 na sio kukutunzia samaki.
Usicheke na nyani na siku nyingine toa mzigo kwa maandishi
 
Aliyekupeleka kwa huyo mnunuzi ndiye tapeli, wala siyo mnunuzi wako.

Anza na huyo aliyekupeleka huko.

Everyday is Saturday................................ 😎

Asipo toa ushirikiano ndo nitajua kuwa nitapeli hata yeye
 
Back
Top Bottom