Amani94
Member
- Apr 1, 2024
- 58
- 87
Bado sijapata
Mmejitokeza kwani ili niwaungishe
Mmejitokeza kwani ili niwaungishe
Hivi kilugha na kingereza nitofauti ngoja nimsikilizeAnaongea kilugha au kiingereza?
ephen_ nenda pm chukua namba mmalize biasharaAnaongea kilugha au kiingereza?
Una akili sana, hili group linatakiwa lilindwe kwa gharama yoyote..!! 😹Kazi kazini.
Age gooo🎶Kanitumia hivi
HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana .
Awe anaishi dar , awe anafanya kazi
Awe yupo tayari kuwa mke.
Ila asiwe mchaga.
Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo
Ni mpenda kanisa . Mrefu , mweupe . Na mpole .
Umri 29
Aliye serious anipm nimpe namba au nimpe ID YAKE .
Sasa watoro weupe mtawapatajeMwanaume lijari unakuajee mweupee bhana?? Aaaah
Futa hii,![]()
kashapataga kaolewaolewa naye
Mungu akupe hitaji la moyo wakoKanitumia hivi
HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana .
Awe anaishi dar , awe anafanya kazi
Awe yupo tayari kuwa mke.
Ila asiwe mchaga.
Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo
Ni mpenda kanisa . Mrefu , mweupe . Na mpole .
Umri 29
Aliye serious anipm nimpe namba au nimpe ID YAKE .
WakeMungu akupe hitaji la moyo wako
Okay MpenziWake