Kuna mtu anaenda Tabora kesho nikuchangie!

Kuna mtu anaenda Tabora kesho nikuchangie!

Wakuu tommorow naenda mji wa asali.
Sipendi sana usafili wa umma
Mara nyingi natumia IT
Maloli
Private car nk.

So kama kuna mtu anaenda tabora au ana connection ya kwenda tabora kesho anipangilie.

PM iko wazi
Ukijibu hapa ni bora zaidi
 
Usipende sana private car mkuu,sometimes unaweza ukawa unaendeshwa na mtu pengine hana hata uzoefu akaja akakuwahisha kuzimu bila kupenda ama ukapanda gari la mbakaji ukapoteza ubingwa hivi hivi unajiona
Sawa ahsantee
 
IT maana yake ni nini ? Nimeona watu wengi wakitumia hilo neno.
 
Back
Top Bottom