Kuna mtu anaenda Tabora kesho nikuchangie!

Kuna mtu anaenda Tabora kesho nikuchangie!

Nilipanda IT dereva sio mzoefu akaovateki malori matatu bila tahadhari na mbele kuna lori lilikua linakuja kwa kasi ilibidi tukokee upande wa pili wa barabara tukaacha barabara ndio pona yetu, tangu siku hiyo sina imani sana na IT

IT sio poa mkuu,yaani utadhani wanafanya delivery roho za watu kwa Israeli
 
Back
Top Bottom