Kesho mimi naenda Tabora nikitokea Sumbawanga napitia KataviWakuu tommorow naenda mji wa asali.
Sipendi sana usafiri wa umma
Mara nyingi natumia IT
Maloli
Private car nk.
So kama kuna mtu anaenda tabora au ana connection ya kwenda tabora kesho anipangilie.
Ni check