Kuna mtu amesikia hki kitu leo kuhusu heslb? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mtu amesikia hki kitu leo kuhusu heslb?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Sep 18, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Eti kuna msela kaniambia magic fm wametangaza kuwa heslb wametangaza kwenye taarifa yao ya habari ya saa 10 jioni kuwa heslb wametoa majina ya waliopata mkopo,na jumla ya waliopata ni 29000 kati ya 33000 walioomba.kuna mwingne ameckia hii kitu wakuu?
   
 2. d

  dodoso Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimesikia kuwa umepata 100% ni kweli?
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  na mimi nimesikia aisee
   
 4. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni kweli,ata mm nimeisikia Channel 10 na kwa mujibu wa kiongozi wa HESL aliyekuwa anatangaza alisema waombaji watembelee website ya HESL kwani tayari wameshaweka majina ya walopata na madaraja yao na kuna wengine wamepewa siku 14 kurekebisha kasoro zilizopo kwenye form zao.Ila cha ajabu nimetembelea website yao haina lolote jipya.Ndio matamko ya bongo hayo best,kiongozi aanasema jambo ambalo hana uhakikanao.
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  leo halali mtu hapa mpaka kieleweke
   
 6. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Mkuu umeiweka web ya Heslb kama homepage halafu unai-reflesh kila baada ya muda mfupi..hahaaaaaa
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  leo nilikua na mpango wakutoka na shemeji yako, yaani hadi nime ahirisha
   
 8. d

  dodoso Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nife mamaangu leo silali mpaka nione jina la mke wangu na % aliyopata, wazee kama vp tukutane tukapate hata bia moja moja wakati tunasubiri.
   
 9. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  mkuu hakuna dalili yoyote ya mzigo kuwekwa usiku huu just go for a date uka-enjoy bana
   
 10. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wewe nimesema halali mtu hapa unacheza nini??
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Nimeisoma Star tv kuwa wamepata 33000 kwa macho na masikio yangu!!!!
   
 12. nistdanavigator

  nistdanavigator JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 718
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 180
  Kweli tumelala sana,usiku mmoja sio kesi.
   
 13. r

  robert komba Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapalaliki
   
 14. B

  Best Mzava Senior Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kutoboa nimetoboa sana,acha leo nikeshe mpaka kieleweke,nimwendo wa kurefresh 2
   
 15. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,888
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  mwanangu kama vp ukiyaona tupia na umu!
   
 16. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,888
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Mi presha hii wazee!!
  Mi hadi nshasahau kama kuna bodi ya mikopo! Lets see!!
   
 17. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kijana hua wana toa ki magroup so mikazi sana kuweka majina ya watu 33,050 wote ka vip ni PM your details ntakutumia.
   
 18. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  umesha onaeeee??
   
 19. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee angalau sasa roho yangu ita2lia
   
 20. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  jamani NingaR,ze dudu nk mkeshe ila wakiweka tu na nyie myatupie humu. Mi game ikisha huku bernabeu nalala,nikiamka asubuhi break ya kwanza jf.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...