Tetesi: Kuna mtu aliyetumbuliwa cheti kajinyonga na kumwachia ujumbe magufuli mwenye habari zaidi tafadhali

Unajua ndugu hawa jamaa yaan waliona ccm kama ndio maisha yao sisi tukiwaambia ccm ni tatizo wao walitutukana sanaa na elimu yetu ya la saba hii daaa tulikomaa ila wapate akili hawa walimu wapevuke .kiakili
Wewe nae ni bure tu, bora angebaki yule na wewe ujinyonge maana ni hasara kwa taifa? Taifa linajijenga kimaadili, kitaaluma wewe Upo hapa kuleta siasa. CCM inaingiaje hapo? Kwa taarifa yako hata chadema, cuf na wengineo wenye mapenzi na hili taifa hawatakubali taaluma kuchezewa hususani hiyo nyeti ya ualimu
 
Kumbe ni mwl. Hao jamaa ni majanga kweli kweli. Wanangojea allowance ya kwenda kusimamia uchaguzi 2020. Jamaa kuzikosa akaamua kutangulia hukumuni kwa alivyoiba kula zileee. CCM watawalea hao watoto yatima
umejuaje kuandika bila mwl?

UJUMBE WA MAREHEMU:
"Mwambieni Mh Rais Kwamba nimeamuwa kujinyonga Kwa Sababu Ya Vyeti Feki, kazi ndiyo sina tena, na watoto njaa na sina cha kuwalisha, bora nife tu!".

Ni sehemu ya ujumbe unaosemekana kaandika marehemu kabla ya kujinyonga.
 
Inasikitisha... Wapi hii. Habari hii itafichwa.. Mbaya sana kwa Serikali.
 
Wewe nae ni bure tu, bora angebaki yule na wewe ujinyonge maana ni hasara kwa taifa? Taifa linajijenga kimaadili, kitaaluma wewe Upo hapa kuleta siasa. CCM inaingiaje hapo? Kwa taarifa yako hata chadema, cuf na wengineo wenye mapenzi na hili taifa hawatakubali taaluma kuchezewa hususani hiyo nyeti ya ualimu
Ndio ila mbona bashite ameachwa si huwa tunasema haki sawa? Acha umbulula wewe wameachwa papa wanakamatwa dagala ..
Mfyuuuuuu acheni kura rambi rambi
 
umejuaje kuandika bila mwl?

Walimu zamani sio wa leo. Wenye vyeti feki nao ni waalimu?? Kama prof mzima anaruhusu vitabu madudu vikasomwe na wanetu bado unaniambia tuna ilim?? Nadhani tupewe ruksa tuwafundishe ungariba watoto wetu tu tuachane na ilim za kizungu. Zinatuchanganya sana. Kila waziri akiingia mlangoni mwa hiyo wizara huingia na mpango wake. Kila baada ya miaka 5 tunapata silabasi mpya upo hapo?? Kama umesikia hilo, basi elewa kuwa hukufundishwa kuandika, ulijifunza mwenyewe
 
UJUMBE WA MAREHEMU:
"Mwambieni Mh Rais Kwamba nimeamuwa kujinyonga Kwa Sababu Ya Vyeti Feki, kazi ndiyo sina tena, na watoto njaa na sina cha kuwalisha, bora nife tu!".

Ni sehemu ya ujumbe unaosemekana kaandika marehemu kabla ya kujinyonga.
Kwahiyo akijinyonga watoto ndio watapata chakula?
 
UJUMBE WA MAREHEMU:
"Mwambieni Mh Rais Kwamba nimeamuwa kujinyonga Kwa Sababu Ya Vyeti Feki, kazi ndiyo sina tena, na watoto njaa na sina cha kuwalisha, bora nife tu!".

Ni sehemu ya ujumbe unaosemekana kaandika marehemu kabla ya kujinyonga.
Nayeye huko aliko elekea ajue alikuwa amefanya kazi ya kuwaibia watanzania miaka yote hiyo na ameminya haki za watanzania wengi.
 
Huyu jamaa kweli bashite yani hapa anaonesha kweli alikua anacheti feki na uwezo wa kufikiri umeishia hapa kashindwa hata kuendesha bodaboda
Umenikumbusha mbali Dada.kabla ya kuajiriwa nlipomaliza chuo nlipiga sana.
18d6e0909f93cfc69e9a7b95d7ee1d50.jpg
 
Back
Top Bottom