Tetesi: Kuna mtu aliyetumbuliwa cheti kajinyonga na kumwachia ujumbe magufuli mwenye habari zaidi tafadhali

misuli ya imani ana je wa sio na kazi na wamefilisika tena hawa jasoma mbona wanajipa moyo.watoto unataka wakateseke.
 
Dah sisi tuna orijino na kaz hatuna alaf yeye anajinyonga kizembe
 
Not to that extent, in every problem there is always a solution. It is sad, the only sln he saw was to end his Life.
 
Labda kama alisingiziwa..kama kweli alifoji ni fala sana huyo jamaa!
 
Wakuu leo nimepata habari ya mwalimu aliyesimamishwa kazi kajinyonga na kumwachia ujumbe Rais magufuli kuwa hakuwa na jinsi? Mwenye news zaidi tafadhali atujuze
Naye huyu kweli alikuwa bashite. Kutumbuliwa ndiyo mwisho wa maisha? Sasa kwa kujinyonga ndiyo anaiachia familia maisha mazuri au anaiongezea???? Tuwe wajasiri katika kila jambo linalotukuta hata kama gumu kumeza.
 
Ccm ndio wamesababisha .
Why wawaache wengine kina badhite
Hapana suwezi kuamini hicho kitu, ikumbukwe kuwa kuna maisha baada ya kuachishwa kazi. Angekuwa mwenye taakuna au msomi anaelewa mambo hata kamkafoji vyeti na kupigwa chini asingejinyonga wala nn angeamua kufait pembeni, tatizo wabongo tunakariri sana yani kisa umeajiriwa unafikiri maisha yako yote yatakuwa ajira tu. Haya kajinyonga ndio kusema watoto watakuwa na shibe? au watapata kazi nao kwa vyeti vya kughushi.
 
May his soul R.I.P, unapomruhusu mtu ndio aamue kipato chako basi utakua unamruhusu kukuamulia yafuatayo bila kujijua
1. ule nini
2. watoto wasome shule gani
3. uvae nguo gani
4. ulale wapi
5. ulale saa ngapi
6. uish kweny nyumba ya namna gan
7. uwe na presha ya kupanda au kushuka
8. yawezekana hata mda wa kugegedana na mkeo na idadi ya watoto.
Sidhan km angekua na shm nyingne ya kumuingzia kipato angefanya maamuz hayo
 
Inasikitisha... Wapi hii. Habari hii itafichwa.. Mbaya sana kwa Serikali.
Nasikia ni dumila huko morogoro lakin najaribu kutizama kwa makini huko kujinyong kwake sikuelewi elewi hivi au ni mie peke yangu?? Sio watu wame mdeal halafu wamepachika maneno hapo kweli!!! Maana kwa alivyo ninginia napata shida kama kweli kajinyonga mwenyewe huyo
 
Nasikia ni dumila huko morogoro lakin najaribu kutizama kwa makini huko kujinyong kwake sikuelewi elewi hivi au ni mie peke yangu?? Sio watu wame mdeal halafu wamepachika maneno hapo kweli!!! Maana kwa alivyo ninginia napata shida kama kweli kajinyonga mwenyewe huyo
Kuna chaka flani kali Moro..... Matombo hukoo
 
Back
Top Bottom