Tetesi: Kuna mtu aliyetumbuliwa cheti kajinyonga na kumwachia ujumbe magufuli mwenye habari zaidi tafadhali

18581790_1183571038431911_6703297108664336208_n.jpeg
 
RIP
Lakini hapo ni kuwa hajasolve tatizo badala yake ndio ameongeza zaidi maana watoto wataangaika ni bora angekomaa
 
Sasa Magufuli alimtuma akafanye forgery? So alipoghushi na kufanya kazi ambayo hana vigezo uwezo wake wa kubuni na kustruggle ukaishia hapo kana kwamba anakula jasho halali.
Kweli kabisa mkuu.

Halafu kujinyonga kwake ndiko kutawalisha hao watoto ...
 
Ndio Maana watu wanashauri hili zoezi litumie busara ya hali ya juu ili kuepuka vifo hivi! Ila kufoji vyeti sio busara Kwani vijana wetu wakiiga ni maafa zaidi
 
Huyu alistahili kutumbuliwa, ndani ya ujumbe mfupi kakosea kuandika mara kadhaa. Vijana wanasotea ajira na hawajui pa kuzipata licha ya kuhitimu vizuri mtu mwingine anakalia nafasi asizostahili.
Anakalia nafasi asiyostahili kama vile anastahili mpaka anajisahau.Kuna mmoja aliyetumbukiwa namfahamu yeye tangu aanze kazi hajawahi hata Mara moja bila kukopa benki huku mdhamini wake ni serikali.Yeye alijitambua mapema kuwa yeye ni feki kwahiyo akiona mkopo unakaribia kuisha anakopa tu nakujenga majumba
 
Sasa Magufuli alimtuma akafanye forgery? So alipoghushi na kufanya kazi ambayo hana vigezo uwezo wake wa kubuni na kustruggle ukaishia hapo kana kwamba anakula jasho halali.
Twamsubiri Daidu Albeti sasa nae afate nyao maana kwa hatua aliyofikia haina namna
 
Kulimia meno kuna maana ndefu sana.

May all beings attain enlightenment.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom