Tetesi: Kuna mtu aliyetumbuliwa cheti kajinyonga na kumwachia ujumbe magufuli mwenye habari zaidi tafadhali

Pole kwa wafiwa.Hata hivyo ni tendo la kijinga sana hili.Hivi kashindwa kabisa kuona kwamba maisha ni popote.Si ajabu kwamba alifoji cheti,maana kwa akili zake ndogo,aliona maisha bila kazi ya kuajiriwa hayawezekani.How stupid.
 
Unajua ndugu hawa jamaa yaan waliona ccm kama ndio maisha yao sisi tukiwaambia ccm ni tatizo wao walitutukana sanaa na elimu yetu ya la saba hii daaa tulikomaa ila wapate akili hawa walimu wapevuke .kiakili
Tatizo hata wakiiacha ccm hawajui waende wapi.
 
So sad may his soul rest in peace
Rest in peace?, not at all. Roho ya MTU aliyejiua haiwezi kupumzika. Kwanza roho yake itatangatanga makaburini mpaka Siku zake alizopangiwa kuishi zitakapotimia. Wanaoplani kujinyonga tafadhali msifanye hivyo, face the music(yakabili matatizo),
 
Sasa Magufuli alimtuma akafanye forgery? So alipoghushi na kufanya kazi ambayo hana vigezo uwezo wake wa kubuni na kustruggle ukaishia hapo kana kwamba anakula jasho halali.
Hana tofauti na wewe unaetumia fake ID
 
Vyeti feki bhana daah! BASHITE anenepa wengine WAKONDA haya huyo nae kajiua kabisa
 
Unajua ndugu hawa jamaa yaan waliona ccm kama ndio maisha yao sisi tukiwaambia ccm ni tatizo wao walitutukana sanaa na elimu yetu ya la saba hii daaa tulikomaa ila wapate akili hawa walimu wapevuke .kiakili
Acha siasa mkuu, hapo hakuna chadema wala ccm. Mwalimu kajiondosha kwasababh amefoji vyeti na katumbuliwa kazi hakuna. Sasa ya ccm yamekujaje hapo
 
UJUMBE WA MAREHEMU:
"Mwambieni Mh Rais Kwamba nimeamuwa kujinyonga Kwa Sababu Ya Vyeti Feki, kazi ndiyo sina tena, na watoto njaa na sina cha kuwalisha, bora nife tu!".

Ni sehemu ya ujumbe unaosemekana kaandika marehemu kabla ya kujinyonga.
ni kweli hili tukio limetokea hapa DUMILA siku ya jumapili
huyo mtu kakutwa asubuhi ofisi ya Tarafa kajinyonga huku ikisemekana kakutwa na kikaratasi chenye ujumbe kuwa chanzo cha kujinyonga ni Magufuli na asikamatwe yeyote ila mtu huyu kwa Dumila ameshindwa kufahamika ila muonekano wake ni kama mkazi wa kanda ya ziwa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom