mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,940
- 46,084
Kuna kitu anakitaka kwakoAlafu cha ajabu huyu msichana nikiongea nae haniangalii usoni anaona aibu ananiangalia kwa kuibia hapa ndo sielewi kabisaa ni demu ananiektia au laaa
Kuna kitu anakitaka kwakoAlafu cha ajabu huyu msichana nikiongea nae haniangalii usoni anaona aibu ananiangalia kwa kuibia hapa ndo sielewi kabisaa ni demu ananiektia au laaa
Haya lete namba mkuu.Nsaidie mkuu nipo dilemma
Ni siku kadhaa zimepita tangia nikutane na msichana huyo. Cha ajabu sikumpa namba yangu ila aliomba kwa mshikaji wangu akapewa na demu akaanza kunitafuta na kuanza kuniita mpenzi, nilishangaa sana.
Na nishawahi wahi kukutana nae na kunieleza kila kitu kuhusu mahusiano yake yote kipindi cha nyuma. Napata wakati mgumu huyu msichana hajanificha kaniambia ana mtu wake sema eti ka fall love kwangu mbaya na aniamini mbaya.
Je nifanyeje hapa???
Mkatalie
Inakuwa Ngumu sababu ikipita siku demu sikumtafuta anajisikia vibaya sanaa
khaa!! kumbe tayar unajua cha kufanya [emoji48][emoji48]
haya mkubalie
Huyo mwanamke anacheza na akili yako tuNo shida ni kwamba kaniambia ana mtu ila hamuelewi but love me more, hapo Ndio napagawa ila hata mm nam love
haahahaahhahahahha,Ameshaona una hela mkuu, anafuata nyuki
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nipe mimi namba zake, wewe mwambie mjomba wako atampigia.
Mimi nikipiga nitamtingisha nione anakupenda kweli au kakosa pa kupeleka stress zake.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]....naombeni ushauri.
1. Mkatalie
- Inakua ngumu kwasababu nisipomtafuta anajisikia vibaya.
2. Mkubalie
- Haiwezekani kasema ana mpenzi wake ila love me more.
Hii ndiyo jinsi waTanzania tulivyo tukiomba ushauri.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Huyu kijana ni jeuri, hajatoa namba mpaka sasa hivi napendekeza tumuondoe kwenye ukoo wetu wa Bashite.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ukimaliza kumtingisha, nipe namba zake na mimi Baba mdogo nimalizie kumtingisha.
Ndio ulishaingia tena huna budi kuvumiliaJf bwana...
Na kweli ipo siku mtu atapost nimekanya kaa la moto naungua nifanyeje...Ndio ulishaingia tena huna budi kuvumilia