wewe pagawa tu ukipata fahamu pesa zimeshakutoka za kutosha mjini hakuna shamba aise.No shida ni kwamba kaniambia ana mtu ila hamuelewi but love me more, hapo Ndio napagawa ila hata mm nam love
Hahahahaaa!Na kweli ipo siku mtu atapost nimekanya kaa la moto naungua nifanyeje...
ngoja atakuja kukuangali usoni pale fedha itakapokua imekata muda ndiyo jawabu la kila kitu umiza ndoga kuongeza pesa siyo mapenzi kila muda.Alafu cha ajabu huyu msichana nikiongea nae haniangalii usoni anaona aibu ananiangalia kwa kuibia hapa ndo sielewi kabisaa ni demu ananiektia au laaa