Kwa matendo yake namchukia huyu mwanaume

Kwa matendo yake namchukia huyu mwanaume

Mankaa

Senior Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
156
Reaction score
49
habari za humu
naamini wote wazima kabisa
nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda
nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina
mume wangu amekuwa akinicheat mara nyingi na mara chache nimekuwa nikigundua usaliti wake.sishangai sana kwani familia yao wote ndivyo walivyo.
kiufupi tulianza maisha tukiwa hatuna kitu kabisa lkn kwa sasa tuna biashara gar zuri nyumba kifupi mume safar za nje ni nying yan tuseme levo yake yeye tuloanzia maisha na sasa yupo juu..
Nimemcumilia miaka yote hiyo lakn sasa nahisi hata uchumi utayumba kwa ajili ya wanawake alonao kila kona,hapa ninavyoandika nahisi kasafiri na mpangaji wetu kwan kuna siku nilikuta wamepakizana kwenye gar akadai kaomba lifti tu.

kifupi nimechoka kuvumilia nilichoamua ni kuifilisi biashara ninayosimamia kimya kimya nijaze pesa kwenye ac yangu ikitosha mtaji wa kwenda kuanza maisha nimwambia imetosha endelea na maisha yako.
haya ndiyo mawazo yangu
lakin nahitaji mawazo yenu piya kuhusu jambo hili
 
Funga na kuomba. Huyo ni shetani tu anataka kuharibu mahusiano yenu. Au huenda wewe ukawa tatizo. Sometimes wanawake tunajiavhia sana. Hatuoshi vizuri hata papuchi zetu...tunawazoea sana wanamme wetu...hata bikin au night dresss hatuvai tena. Tunakalia kuvaa manguo yasio na mvuto chumban kwa waumme zetu. Pole mwaya...nakushauri usali kwa imani
 
Usiifilisi biashara yake, mwizi mzuri ni anayeweza kuiba na kuanzisha biashara yake bila kufilisi biashara ya awali.

Ukiifilisi utatuharibia uchumi, tunahitaji biashara hiyo sana kama taifa. Wee zalisha biashara ya pili.

Kuhusu kusepa, hilo huwa halishauriwi, ni maamuzi yako tu.
 
Na nilikuwa namaanisha kupata mtaji wangu apo nimwachie biashara yake nami nikaanze yangu asante kwa ushauri
 
Mmmh pole dada jitaidi kusali sana kwani hata ukitoka hapo utakutana na hayohayo wanaume wote wanatabia moja funga roho sali sana ili msifilisike mzidi kwenda mbele hayo ni mapito tu na hao machangu kuwa mkali na buget ili ukontrol pesa za familia pole sikushauri utoke hapo dada kuwa na roho ngumu tu utashinda one day.
 
Funga na kuomba. Huyo ni shetani tu anataka kuharibu mahusiano yenu. Au huenda wewe ukawa tatizo. Sometimes wanawake tunajiavhia sana. Hatuoshi vizuri hata papuchi zetu...tunawazoea sana wanamme wetu...hata bikin au night dresss hatuvai tena. Tunakalia kuvaa manguo yasio na mvuto chumban kwa waumme zetu. Pole mwaya...nakushauri usali kwa imani
godoro-la-comfy
wewe ni ke au me?
Samahani nimechakachua thread...
 
Last edited by a moderator:
you cannot force your husband to change. You cannot control another person's actions.

All you can control is your actions!!!!!!!!!!He put your HEALTH AND LIFE at risk for his own damn pleasure!!!!!!!:A S angry::A S angry:

halafu eti hushangai so cos his family cheats then its OKAY for him to cheat!!!!ka unamuendekeza vilee Kha!!!:confused2::confused2:

The reason men like this exist is because there are women out here that ALLOW him to. Don't allow it,

for it just prolongs the fact that it will be "okay" with your children as well once their husband cheats!!!!!!!!!!!!!!!!!

THE CHOICE IS YOURS!!!!!!!!!!KUNYOA AU KUSUKA............
 
haya ndo matatizo ya ile team anayoikataa lara 1.true lov and growing together,yaani mkishapata anakuona ww namna gani vipi.......ila mawazo yako ya kufungua bness nyingine ni mazuri, do that, kuachana sikushauri,ni maamuzi yako tu.....Maombi ndo silaha yako,tena uwe deep sio maombi ya dakika mbili....coz mama ndo anabeba na mlinzi wa familia,bahati mbaya wanawake wengi tumelisahau hili...................ss km hyo familia yote ipo hivyo na ulilijua hilo,ilitakiwa umuandae huyo mtu wako b4 hyo ndoa yenu kwa kumuombea tu abadirike,coz unaweza kuta hyo ni family curse.......remember kesho yako inaandaliwa leo!!!!!!!!!cc: lara 1, kibibi jongo, Munkari,Miss strong
 
^^
Umewahi kumshirikisha Mungu? Maana kuna wakati katika ndoa,bila Mungu mwezi hauishi
^^
 
^^
Umewahi kumshirikisha Mungu? Maana kuna wakati katika ndoa,bila Mungu mwezi hauishi
^^
........my dia, kumshikisha Mungu ni muhim, kumbuka pia kuna kulipa gharama, so inategemea misingi ya hiyo ndoa......na hapa toba inahusika sana hana ujanja
 
you cannot force your husband to change. You cannot control another person's actions.

All you can control is your actions!!!!!!!!!!He put your HEALTH AND LIFE at risk for his own damn pleasure!!!!!!!:A S angry::A S angry:

halafu eti hushangai so cos his family cheats then its OKAY for him to cheat!!!!ka unamuendekeza vilee Kha!!!:confused2::confused2:

The reason men like this exist is because there are women out here that ALLOW him to. Don't allow it,

for it just prolongs the fact that it will be "okay" with your children as well once their husband cheats!!!!!!!!!!!!!!!!!

THE CHOICE IS YOURS!!!!!!!!!!KUNYOA AU KUSUKA............

Mkalimani haraka
 
japo siamini kauli hii, ila inaweza kuwa na ukweli "ukitaka kujua tabia ya mwanaume apate pesa" LAKINI wewe unatuambia ni tabia ya familia yake..hukuyajua haya tangu mwanzo? Halaf kwani kakufunga miguu? Kama anawengi, ukizubaa utakuja kutolewa hivyo amua kabla hujachelewa.
 
kwanza kabla sijashauri nataka kujua kama umeshajaribu kukaa nae na kuzungumza nae na alikujibu ama kukuahidi.Ama hujawahi kabisa kushauriana nae.
 
kwanza kabla sijashauri nataka kujua kama umeshajaribu kukaa nae na kuzungumza nae na alikujibu ama kukuahidi.Ama hujawahi kabisa kushauriana nae.

Tulishaongea mara nying daily n mtuwa kusrma nitabadilika lkn ksho yanarudi yaleyale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom