Kuna mjane kaniganda sio poa

Kuna mjane kaniganda sio poa

Hivi ni kweli wanawake wanaua mabwana zao 🤔 sasa anakuua alafu msibani anakutizama vipi ukiwa mfu 🤔, na kulia ina maana atalia ?
 
Habari zenu wakubwa?
ebana kuna mwanamke mmoja hapa mbeya ni mjane,kwa maelezo yake na maelezo ya watu wanaomjua alifiwa na mume wake miaka minne iliyopita,kifo cha mume wake inasemekana alikua na madeni mengi tu huko bank na alikua anaelekea kufirisika,jamaa akaamua kujiua kwa kunywa sumu,huyu mwanamke ana umri wa miaka 41 na mimi umri wangu ni miaka 36,so tumekutana tu katika harakati za maisha, yeye ana biashara zake ana duka la jumla na pia analima huko sumbawanga kilimo cha kibiashara.so toka tujuane mimi nilijua ni just one night stand but nashangaa kaniganda hadi naogopa wakuu.mimi sio kwamba nampa kitu cha maana hapana labda ni muda wangu tu ninaompa na kumgegeda,sasa kanishangaza eti leo ananiambia badala ya kuendelea kuishi hotelin ananiambia nihamie kwake.
Wakuu niko dilemma na huyu mwanamke,mbona kaniganda hivi?

Jithamini, Kama hauna thamani yeyote na umri wa miaka 36, nenda ukajua jinsi gani wanawake wa aina hiyo ni changamoto!
 
Atakuwa anachanganya lodge, guest house, Motel na Hotel.

Nakubaliana na wewe kwa hicho anachouliza atakuwa haishi Hotel

Huyu anaishi Guest house
 
Daktari anaejua kilichomuua mume wake vile anakuangalia
Screenshot_20250625_125249_Facebook.jpg
 
Habari zenu wakubwa?
ebana kuna mwanamke mmoja hapa mbeya ni mjane,kwa maelezo yake na maelezo ya watu wanaomjua alifiwa na mume wake miaka minne iliyopita,kifo cha mume wake inasemekana alikua na madeni mengi tu huko bank na alikua anaelekea kufirisika,jamaa akaamua kujiua kwa kunywa sumu,huyu mwanamke ana umri wa miaka 41 na mimi umri wangu ni miaka 36,so tumekutana tu katika harakati za maisha, yeye ana biashara zake ana duka la jumla na pia analima huko sumbawanga kilimo cha kibiashara.so toka tujuane mimi nilijua ni just one night stand but nashangaa kaniganda hadi naogopa wakuu.mimi sio kwamba nampa kitu cha maana hapana labda ni muda wangu tu ninaompa na kumgegeda,sasa kanishangaza eti leo ananiambia badala ya kuendelea kuishi hotelin ananiambia nihamie kwake.
Wakuu niko dilemma na huyu mwanamke,mbona kaniganda hivi?
Kwani ulipombakua mara ya kwanza ulitutaka ushauri hapa? 😉
 
Habari zenu wakubwa?
ebana kuna mwanamke mmoja hapa mbeya ni mjane,kwa maelezo yake na maelezo ya watu wanaomjua alifiwa na mume wake miaka minne iliyopita,kifo cha mume wake inasemekana alikua na madeni mengi tu huko bank na alikua anaelekea kufirisika,jamaa akaamua kujiua kwa kunywa sumu,huyu mwanamke ana umri wa miaka 41 na mimi umri wangu ni miaka 36,so tumekutana tu katika harakati za maisha, yeye ana biashara zake ana duka la jumla na pia analima huko sumbawanga kilimo cha kibiashara.

so toka tujuane mimi nilijua ni just one night stand but nashangaa kaniganda hadi naogopa wakuu.mimi sio kwamba nampa kitu cha maana hapana labda ni muda wangu tu ninaompa na kumgegeda,sasa kanishangaza eti leo ananiambia badala ya kuendelea kuishi hotelin ananiambia nihamie kwake.
Wakuu niko dilemma na huyu mwanamke,mbona kaniganda hivi?
Huyo ni chaguo lakooo
 
Back
Top Bottom