Kuna mjane kaniganda sio poa

Kuna mjane kaniganda sio poa

Habari zenu wakubwa?
ebana kuna mwanamke mmoja hapa mbeya ni mjane,kwa maelezo yake na maelezo ya watu wanaomjua alifiwa na mume wake miaka minne iliyopita,kifo cha mume wake inasemekana alikua na madeni mengi tu huko bank na alikua anaelekea kufirisika,jamaa akaamua kujiua kwa kunywa sumu,huyu mwanamke ana umri wa miaka 41 na mimi umri wangu ni miaka 36,so tumekutana tu katika harakati za maisha, yeye ana biashara zake ana duka la jumla na pia analima huko sumbawanga kilimo cha kibiashara.so toka tujuane mimi nilijua ni just one night stand but nashangaa kaniganda hadi naogopa wakuu.mimi sio kwamba nampa kitu cha maana hapana labda ni muda wangu tu ninaompa na kumgegeda,sasa kanishangaza eti leo ananiambia badala ya kuendelea kuishi hotelin ananiambia nihamie kwake.
Wakuu niko dilemma na huyu mwanamke,mbona kaniganda hivi?
Sawa,"analima huko Sumbawanga"kama unapenda kulima lima basi jipange...
 
ukimuendekeza huyo,mwaka wako mmoja tu unalamba mchanga na yeye atafungua maduka manne makubwa kuzidi hayo alionayo sasa.
hiyo ndio michezo ya wamama wa ukinga na umalila.
 
Umekaa sehemu gani hapo?
Nipo nje hapa kwa fundi viatu ,nimevaa shati jeupe na suruali ya kitambaa cheusi .

Nina tumbo kubwa lisilomithirika niko na savanna mkononi ,naongea kuliko yeyote hapa tulipokaa .

Kichwani sina nywele hata moja ila sura ina kovu kubwa upande wa jicho la kulia ,nina lafudhi ya Dar es salaam ila najitahidi kuificha .

Karibu utaniona chap kwa hizi sifa kedekede
 
Mmepima? Wajane wa Mbeya wengi wameungwa gridi ya taifa..!!
We jifanye chizi mapenzi.
 
Back
Top Bottom