Kuna miji imejengeka aisee....

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,667
2,000
twerktallk6858565.jpg
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
12,350
2,000
Nilitizama Movie ya Kihindi DOOM 3 Amir Khan kaigizia Movie hiyo huko... Chicago si Mchezo... City la Nguvu
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,576

Ukimaliza uje unihadithie naona uvivu kutizama....

Nampenda huyo girl katrina kaif....
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
12,350
2,000
Ukimaliza uje unihadithie naona uvivu kutizama....

Nampenda huyo girl katrina kaif....

Haha me nilishaitizama pale Quality Centre Katrina mtoto mzuri haswa... lakini hajakufikia wewe Farkhina....

Movie imekamilika Comedy Story Action Maandhari mazuri yaliyochezewa Picture... uongo ni kitu cha kawaida kwenye movie za kihindi ambao sometime unajikuta unacheka mwenyewe tu ndani ya theater japo kuna wengine hucheka kwa nguvu....

The Great Indian Circus cha kusikitisha Sterling mapacha wote wanakufa na movie inaisha...

Kaitizame wala hutosikia uvivu am sure utatoka ukitabasamu.... Movie ina subtitle ya english na 1/3 wanaongea English na nyingine ni Hindi...

Kama vipi nistue twende hata sijachoka kuitizama....:wink2:
 
Search youtube players mzuri sana.....wapo kina bipasha basu

Wacha nkuekee...hii nzuri pia

http://m.youtube.com/watch?v=0v4Iy9Vpu2E&desktop_uri=/watch?v=0v4Iy9Vpu2E
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom