Kuna michepuko ni takataka kabisa

hamjui nimeona hata mimi

teh teh

zamani alikuwa anaitwa mama J ila kwa sasa jina limebadilika na kuwa Majay hahahahahah,,,anaendelea kuwa wa viwango vya juu zaidi
Tafuteni mganga wa Majay sio fake kabisa
 
Sio gharama kubwa kiivyo mkuu, ningekua nmemjenge,kumsomesha au kuwajengea kwao ungepaswa kunilaumu.
Umempangishia hiyo sio gharama? unamwachia matumizi ya kila siku kama vile ni mkeo na bado umemfungulia biashara hayo sio matumizi ya mtu mwenye akili kuwekeza kwa mchepuko mkuu badilika kwani mwanamke ni yeye tu? Demu hakupendi wewe unatumia nguvu kubwa kwake wenzako michepuko ndio inawapenda wewe sijui unafeli wapi? Na bado demu anakuendesha
 
umeonaeee, huyu mganga wake bado yuko hai
tatizo la waganga wanaweza kukupa dawa halafu wakadanja, kumpata tena kurekebisha mambo hapatikani,,,huyu wa Majay bado anapumua
hahahhahahaha
Ha ha ha....nyie vichaa kwelikweli[emoji28]
 
Wewe ni mwamba sana🤣🤣🤣
Kiukweli kabisa isingekuwa magonjwa na migundu wanayotembea nayo binadamu, mwanaume kuwa na mchepuko haitakiwi kuwa big deal. 😂

Kiimani Wengine sisi warohoni, mtu akitoka mchepukoni unamuona kabisa ni mchafu kiroho, akianza kunipumulia na mimi mambo yangu yanakufa kiroho.
 
Apo kwenye kiroho sasa, umeshaniacha siku nyingi sana , yani wewe unatumia ndege mimi bado nipo kwenye vigari vya kukokota kwa farasi.

Magonjwa ,maokoto na vingine vinatufanyaga tu tuwe wapole.
 
Migoma yako sijui huwa unaitoa wapi yote vimeo...jaribu kutafuta wenye heshima
 
Ndo siku unakufa umetoka kwa mchepuko, utaeleza nini kwa Mwenyezi-Mungu? Unadhani kuna hasara gani kubwa hapa ulimwenguni kama adhabu ya Mwenyezi-Mungu tena itakuwa ni adhabu ya milele?

Maneno hayo niliyoyaandika nimejiusia na nafsi yangu pia, ahsante.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…