Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya

Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,018
Reaction score
28,396
Maeneo mengi kukatika umeme hasa dar imekuwa sehemu ya maisha umeme kukatika saa sita hadi nane kwa siku bila taarifa zozote hii ni kila siku tena unaweza kukatika mara nyingi kwa siku unakuja unakata unarudi unakatika tena .

TANESCO wanataka kuturudisha miaka ya 2000-2015 ni vyema mh rais uchukue hatua kubwa maana hii sio vema kwa inchi ya viwanda na uchumi wa kati

USSR
 
Jana ijumaa huku kwetu umekatika sio chini ya mara saba kuanzia alfajiri mpaka jioni, tena na hili joto la siku hizi ndio balaa kabisa, haya matatizo yakitokea Tanesco hata hawasemi chochote, na vitu vikiungua kulipa hawataki.
 
Maeneo mengi kukatika umeme hasa dar imekuwa sehemu ya maisha umeme kukatika saa sita hadi nane kwa siku bila taarifa zozote hii ni kila siku tena unaweza kukatika mara nyingi kwa siku unakuja unakata unarudi unakatika tena .

TANESCO wanataka kuturudisha miaka ya 2000-2015 ni vyema mh rais uchukue hatua kubwa maana hii sio vema kwa inchi ya viwanda na uchumi wa kati

USSR
Sio mgao wa umeme tu, na wa maji, yaani ni juhudi za serikalinya awamu ya tano
 
Dar imezidi hii hali wanaweza wakata hata mara 5 kwa siku au siku nzima hakuna umeme sijui wananini hawa
Morogoro Leo Nimeiona Hiyo Style
UMEME Umekatika Kama Muda Wa Saa Mbili
 
Huku Nilipo nshasahu mara ya mwisho umeme ulikuwepo lini
 
Maeneo mengi kukatika umeme hasa dar imekuwa sehemu ya maisha umeme kukatika saa sita hadi nane kwa siku bila taarifa zozote hii ni kila siku tena unaweza kukatika mara nyingi kwa siku unakuja unakata unarudi unakatika tena .

TANESCO wanataka kuturudisha miaka ya 2000-2015 ni vyema mh rais uchukue hatua kubwa maana hii sio vema kwa inchi ya viwanda na uchumi wa kati

USSR
Hakuna mgao wa umeme Mteja, umeme upo mwingi wa uhakika na wa kutosha na hadi sasa uwezo wa kuzalisha umeme katika gridi ya Taifa umefikia Megawati 1,565.72 na matumizi ya juu ambayo yamefikiwa (peak demand) ni megawati 1,177.20, utaona kabisa kutoka hapo umeme upo wa kutosha na ziada.

SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA KUKATIKA KWA UMEME

1. TANESCO itakata umeme BILA kuwataarifu wateja endapo kuna sababu zifuatazo:-
a) Kuna mali inaungua (Mf. nyumba, kiwanda au mtambo)
b) Kuna mtu kanaswa na umeme.
c) Dharura emergencies (imeelezwa hapo chini namba 4)

2. TANESCO itakata umeme baada ya kuwataarifu wateja - Planned Interruptions endapo:-

a) Kuna matengenezo Kinga yaliyopangwa kufanyika ili kuimarisha miundombinu Planned Preventive Maintanance (Mf. Kubadili nguzo zilizooza, kubadili waya chakavu, kubadili transfoma ili kuongeza uwezo wa umeme nk)
b) Matengenezo ya kila mara Routine Maintanance (Mf. Kukata miti inayogusa line za umeme, kukagua vikombe na vifaa vingine kwenye line)
c) Kumuunga mteja mkubwa kwenye line ya msongo mkubwa wa umeme 11kV au 33kV

3. SABABU zinazoweza kusababisha umeme kukatika kwa dharura Emergency cases nyingi ni Unplanned Interruptions

a) Za kiasilia Natural Calamities (Mf. Radi kupiga transfoma, mvua au upepo mkali kuangusha nguzo, kukata waya, miti au minazi au matawi ya miti kuangukia line, mafuriko, wanyama kama komba, nyani, nyoka, kunguru kunasa kwenye mifumo ya umeme nk.

b) Hujuma za kibinadamu Sarbotage
(Mf. Transfoma kuibiwa mafuta, kuibwa nyaya za umeme, nguzo kuchomwa moto na kuanguka, nguzo kubwa kuibiwa vyuma na kuanguka, magari kugonga nguzo za umeme na kuanguka, malori marefu kwenda juu kukata waya za umeme, wateja kukata miti ikaangukia kwenye line nk.

C) Uchomaji wa miundombinu ya umeme kama nguzo.

Hizi ni baadhi tu ya sababu za msingi zinazoweza kusababisha umeme Kukatika. Hivyo ieleweke kuwa sio kila KUKATIKA KWA UMEME -TANESCO wamekata ni suala pana linalohitaji kujua sababu. Wakati mwingine kwa maelezo hayo hapo juu, umeme unakatika hata TANESCO inabidi kufuatilia mifumo ili kujua sababu za kukatika.

Tunaomba umma uelewe sababu hizi na kuwa TANESCO tunaamini hakuna Mfanyakazi wa TANESCO anaweza kulihujumu Shirika kwa kukata umeme bila sababu au kukata umeme bila kufuata maagizo na utaratibu wa kukata line uliowekwa. Sio kila mfanyakazi au fundi anaweza kukata umeme. Upo utaratibu na wakati mwingine wa kimaandishi unaompa fundi ruhusa, kabla ya kukata umeme.

Tafadhali usiguse wala kukanyaga waya uliokatika au ulioanguka chini, toa taarifa Ofisi za TANESCO zilizo karibu.

Wasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo: - Kitengo cha Miito ya Simu 0222194400 na 0768 985100

Tovuti:
www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii:

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd
 
Kwahiyo ndugu TANESCO tuchukulie kuna mali zinaungua mfululizo au watu wananaswa na umeme mfululizo hadi kupelekea umeme kukatika kama tunavyoshuhudia mtaani?
 
Mitandao ya kijamii:umenijibu kisanii sana TANESCO KIBAMBA UMEZIDI HUYU MANAGER WENU HAFAI .KILA SIKU KILA SAA

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd
 
Kwahiyo ndugu TANESCO tuchukulie kuna mali zinaungua mfululizo au watu wananaswa na umeme mfululizo hadi kupelekea umeme kukatika kama tunavyoshuhudia mtaani?
Sababu sio hizo tu, kuna zaidi ya hizo kama tulivyo ainisha, umetoa taarifa kuhusu kukatika kwa umeme eneo ulilopo? Umepewa namba ya taarifa?
 
Back
Top Bottom