msovero
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 929
- 1,764
Punguza sauti wakikusikia segerea itakuhusuHalafu mtu anawekeza kwenye ndege wakati huduma za msingi za jamii zinasuasua kama hivi!!
Punguza sauti wakikusikia segerea itakuhusuHalafu mtu anawekeza kwenye ndege wakati huduma za msingi za jamii zinasuasua kama hivi!!
Acha uongo.Maeneo mengi umeme unakatikakatika sana.Hakuna mgao wa umeme Mteja, umeme upo mwingi wa uhakika na wa kutosha na hadi sasa uwezo wa kuzalisha umeme katika gridi ya Taifa umefikia Megawati 1,565.72 na matumizi ya juu ambayo yamefikiwa (peak demand) ni megawati 1,177.20, utaona kabisa kutoka hapo umeme upo wa kutosha na ziada.
SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA KUKATIKA KWA UMEME
1. TANESCO itakata umeme BILA kuwataarifu wateja endapo kuna sababu zifuatazo:-
a) Kuna mali inaungua (Mf. nyumba, kiwanda au mtambo)
b) Kuna mtu kanaswa na umeme.
c) Dharura emergencies (imeelezwa hapo chini namba 4)
2. TANESCO itakata umeme baada ya kuwataarifu wateja - Planned Interruptions endapo:-
a) Kuna matengenezo Kinga yaliyopangwa kufanyika ili kuimarisha miundombinu Planned Preventive Maintanance (Mf. Kubadili nguzo zilizooza, kubadili waya chakavu, kubadili transfoma ili kuongeza uwezo wa umeme nk)
b) Matengenezo ya kila mara Routine Maintanance (Mf. Kukata miti inayogusa line za umeme, kukagua vikombe na vifaa vingine kwenye line)
c) Kumuunga mteja mkubwa kwenye line ya msongo mkubwa wa umeme 11kV au 33kV
3. SABABU zinazoweza kusababisha umeme kukatika kwa dharura Emergency cases nyingi ni Unplanned Interruptions
a) Za kiasilia Natural Calamities (Mf. Radi kupiga transfoma, mvua au upepo mkali kuangusha nguzo, kukata waya, miti au minazi au matawi ya miti kuangukia line, mafuriko, wanyama kama komba, nyani, nyoka, kunguru kunasa kwenye mifumo ya umeme nk.
b) Hujuma za kibinadamu Sarbotage
(Mf. Transfoma kuibiwa mafuta, kuibwa nyaya za umeme, nguzo kuchomwa moto na kuanguka, nguzo kubwa kuibiwa vyuma na kuanguka, magari kugonga nguzo za umeme na kuanguka, malori marefu kwenda juu kukata waya za umeme, wateja kukata miti ikaangukia kwenye line nk.
C) Uchomaji wa miundombinu ya umeme kama nguzo.
Hizi ni baadhi tu ya sababu za msingi zinazoweza kusababisha umeme Kukatika. Hivyo ieleweke kuwa sio kila KUKATIKA KWA UMEME -TANESCO wamekata ni suala pana linalohitaji kujua sababu. Wakati mwingine kwa maelezo hayo hapo juu, umeme unakatika hata TANESCO inabidi kufuatilia mifumo ili kujua sababu za kukatika.
Tunaomba umma uelewe sababu hizi na kuwa TANESCO tunaamini hakuna Mfanyakazi wa TANESCO anaweza kulihujumu Shirika kwa kukata umeme bila sababu au kukata umeme bila kufuata maagizo na utaratibu wa kukata line uliowekwa. Sio kila mfanyakazi au fundi anaweza kukata umeme. Upo utaratibu na wakati mwingine wa kimaandishi unaompa fundi ruhusa, kabla ya kukata umeme.
Tafadhali usiguse wala kukanyaga waya uliokatika au ulioanguka chini, toa taarifa Ofisi za TANESCO zilizo karibu.
Wasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo: - Kitengo cha Miito ya Simu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti:
www.tanesco.co.tz
Mitandao ya kijamii:
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook Tanesco Yetu
Eti bana waseme kama kuna mgao maana tabiia hii imekomaa sasa sijui nini tatizo waziri anaongea hivi mara waendaji wanafanya kinyume na maagizo huko ni kumdharau ama?Maeneo mengi kukatika umeme hasa dar imekuwa sehemu ya maisha umeme kukatika saa sita hadi nane kwa siku bila taarifa zozote hii ni kila siku tena unaweza kukatika mara nyingi kwa siku unakuja unakata unarudi unakatika tena .
TANESCO wanataka kuturudisha miaka ya 2000-2015 ni vyema mh rais uchukue hatua kubwa maana hii sio vema kwa inchi ya viwanda na uchumi wa kati
USSR
Raisi MAGUFULI amemaliza tatizo la umeme Tanzania. Ilikuwa kila mahala tututu... mata tukutuku.Dar imezidi hii hali wanaweza wakata hata mara 5 kwa siku au siku nzima hakuna umeme sijui wananini hawa
Waziri wa nishati kasema mtambo wa Songas una matatizo. Kwamba badala ya kuzalisha MW 180 unazalisha MW 120 na hivyo kuwa na upungufu wa MW 60 sawa na mahitaji ya nchi kama Burundi.
Lakini tulishaambiwa kuwa tunazalisha MW 1,600, mahitaji yetu ni MW 1,100 tu, hivyo tuna ziada ya MW 500. Sasa iweje sasa deficit ya MW 60 pale Songas isababishe changamoto ya umeme nchi nzima tunayoishuhudia sasa? Na hizo chanjo tutazihifadhi kivipi? Si zitaharibika na kusababisha zisifanye kazi tutakapochanjwa? Tanesco kuweni makini.
Kwani hatuna chanjo? Wewe chanjo unayoijua pekee ni hiyo ya mafua makali ya uviko tu? Hata hiyo tuko mbioni kuipata kutoka China baada ya watalaamu wa afya wa kwetu kukamilisha uchambuzi kama ambavyo waliagizwa na rais wetu. Achana na mhemko wa padre Kitima ambaye ni kama alivyo mchungaji Mwamakula.Chanjo zipi?
Kwani hatuna chanjo? Wewe chanjo unayoijua pekee ni hiyo ya mafua makali ya uviko tu? Hata hiyo tuko mbioni kuipata kutoka China baada ya watalaamu wa afya wa kwetu kukamilisha uchambuzi kama ambavyo waliagizwa na rais wetu. Achana na mhemko wa padre Kitima ambaye ni kama alivyo mchungaji Mwamakula.
Nilijua tu mke wangu kwamba huko ndiyo unakolenga.Mke wangu una maneno aisee,wapi nimetaja hio uviko?
Nilijua tu mke wangu kwamba huko ndiyo unakolenga.
Nyie kweli matakataka, mnakata umeme halafu mnasema tuwasiliane na nyie? Halafu itakuwaje tukishawasiliana na nyie. Acheni upumbavu bwana ..miaka 50+ tangu uhuru hadi leo bado mnaendeleza mgao wa umeme..Hakuna mgao wa umeme Mteja, umeme upo mwingi wa uhakika na wa kutosha na hadi sasa uwezo wa kuzalisha umeme katika gridi ya Taifa umefikia Megawati 1,565.72 na matumizi ya juu ambayo yamefikiwa (peak demand) ni megawati 1,177.20, utaona kabisa kutoka hapo umeme upo wa kutosha na ziada.
SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA KUKATIKA KWA UMEME
1. TANESCO itakata umeme BILA kuwataarifu wateja endapo kuna sababu zifuatazo:-
a) Kuna mali inaungua (Mf. nyumba, kiwanda au mtambo)
b) Kuna mtu kanaswa na umeme.
c) Dharura emergencies (imeelezwa hapo chini namba 4)
2. TANESCO itakata umeme baada ya kuwataarifu wateja - Planned Interruptions endapo:-
a) Kuna matengenezo Kinga yaliyopangwa kufanyika ili kuimarisha miundombinu Planned Preventive Maintanance (Mf. Kubadili nguzo zilizooza, kubadili waya chakavu, kubadili transfoma ili kuongeza uwezo wa umeme nk)
b) Matengenezo ya kila mara Routine Maintanance (Mf. Kukata miti inayogusa line za umeme, kukagua vikombe na vifaa vingine kwenye line)
c) Kumuunga mteja mkubwa kwenye line ya msongo mkubwa wa umeme 11kV au 33kV
3. SABABU zinazoweza kusababisha umeme kukatika kwa dharura Emergency cases nyingi ni Unplanned Interruptions
a) Za kiasilia Natural Calamities (Mf. Radi kupiga transfoma, mvua au upepo mkali kuangusha nguzo, kukata waya, miti au minazi au matawi ya miti kuangukia line, mafuriko, wanyama kama komba, nyani, nyoka, kunguru kunasa kwenye mifumo ya umeme nk.
b) Hujuma za kibinadamu Sarbotage
(Mf. Transfoma kuibiwa mafuta, kuibwa nyaya za umeme, nguzo kuchomwa moto na kuanguka, nguzo kubwa kuibiwa vyuma na kuanguka, magari kugonga nguzo za umeme na kuanguka, malori marefu kwenda juu kukata waya za umeme, wateja kukata miti ikaangukia kwenye line nk.
C) Uchomaji wa miundombinu ya umeme kama nguzo.
Hizi ni baadhi tu ya sababu za msingi zinazoweza kusababisha umeme Kukatika. Hivyo ieleweke kuwa sio kila KUKATIKA KWA UMEME -TANESCO wamekata ni suala pana linalohitaji kujua sababu. Wakati mwingine kwa maelezo hayo hapo juu, umeme unakatika hata TANESCO inabidi kufuatilia mifumo ili kujua sababu za kukatika.
Tunaomba umma uelewe sababu hizi na kuwa TANESCO tunaamini hakuna Mfanyakazi wa TANESCO anaweza kulihujumu Shirika kwa kukata umeme bila sababu au kukata umeme bila kufuata maagizo na utaratibu wa kukata line uliowekwa. Sio kila mfanyakazi au fundi anaweza kukata umeme. Upo utaratibu na wakati mwingine wa kimaandishi unaompa fundi ruhusa, kabla ya kukata umeme.
Tafadhali usiguse wala kukanyaga waya uliokatika au ulioanguka chini, toa taarifa Ofisi za TANESCO zilizo karibu.
Wasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo: - Kitengo cha Miito ya Simu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti:
www.tanesco.co.tz
Mitandao ya kijamii:
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook Tanesco Yetu
Pole mkuu Ina maana umeenda job bila kunyoosha nguoKijitonyama uku washakata asubuhi hii
Mkuu ni swali tu umeulizwa mbona kwanini uhemkwe badala ya kujibu swali!? Au ni haya "makatizo..."???Mlevi ni wewe hapa mnywa mataputapu