Kama ukishika na mikono tofauti hakuna shida
imekuwa taabu kwelikweli kwetu sisi twenye mikono ya birika!!Mambo ya bakshish na asante haya..leo haya mambo yameota mizizi mpaka chini kabisa
na matoto ya mtaani kibaooo!!Tunachangamshana tu kaka.. Wahenga walisema mficha uchi hazai.. Siku hizi nyuchi tunaziona mpaka vichochoroni
Kwahiyo hapa Wahenga walikuwa wakihamasisha ngono!?na matoto ya mtaani kibaooo!!
Nenda uendako lakini utarejea ulipotoka
💪🏽🙏🏽 Maneno ya msingi sana haya.Sehemu za siri za mwanamke zinafananishwa na shimo la Tewa kwakuwa zimeangamiza wengi sanaPengine hata wewe pia unayesoma hapa.![]()
'nanimaku".........Akutukanaye hakuchagulii tusi..! Lakini siku hizi kuna tusi moja maarufu sana utafikiri limenata midomoni mwa watu... Ndio hilohilo unaloliwaza![]()
Kila mdada sasa hivi anataka mtoto, ndio maana wameamua kwa umoja wao wasifiche tena ili tuweze kuijaza dunia.Tunachangamshana tu kaka.. Wahenga walisema mficha uchi hazai.. Siku hizi nyuchi tunaziona mpaka vichochoroni