Haya shindana Na website hiyo ya bandari Maana watu wengine sijui mnaushabiki kiasi gani? Hebu jaribuni kufuatilia kila jambo kabla ya kulikubaliMkuu;
Ni kweli kuna meli 30 na katika hizo, angalia tu, kwa kwenda kwake pale amefumua migodi ya mafisadi. Gari za kifahari simeitwa mitumba ya viatu na magauni.
Can yu believe it?? Angekuwa ni waziri wa wizara husika, si angehamia huko bandarini na kila siku afumue?? Pole zenyu msiosikia maonyo yake
Ha ha haaaa.. mimi hua Napenda kuzihesabu nikiwa pale CoCo beach Usiku..by the way Hata usiku huu nitaendA.. nitasema nimeona ngapi.Ni fedheha kwa kweli..ukikaa daraja la Salender unaweza kuhesabu meli zote ziliopo nangani yule Mzee haaminiki tena
Bongo muvi hizo wewe kuwa na akili yale maroba ya nguo si ya manzese na hata plate numba za magari hukuziona wabongo bwana ndiyo maana ukaambiwa mitumbwi ya wavuvi 30
Haya shindana Na website hiyo ya bandari Maana watu wengine sijui mnaushabiki kiasi gani? Hebu jaribuni kufuatilia kila jambo kabla ya kulikubali
Tumeambiwa kuna meli 30 Lkn kwa mujibu wa website Yao kuna meli16Mkuu;
Umeona nini hapo mkuu?? Sijakuelewa miye, nishindane nayo kuwa magari hufichwa humo au?? Mbona tunaleteana tena mafumbo? Hebu swali la kimtaani kidogo nijibu. Tuseme, kwa kwenda kwake pale tu, jana baada ya kumtumbua Nape amekamata magari 3 ya kifisadi na makontena 10 ya madini (udongo wa madini).
Je, tangu mara ya mwisho afike pale, ni mangapi mmepitisha kinyume na maagizo?? Mtawatenda nini hao wabishi na vichwa ngumu??
Bongo hatujambo weye sijui una ushabiki kiasi gani
...kudanganyana ni jadi yake, kama alivyodanganyana juu ya kusema Rais wa Benki ya Dunia hajawahi kufika Tanzania..Kwahiyo Yule jamaa alimdanganya Mkuu? Unless sio Jana.
Kwa upepo ulivyo tatu tu zingetoshaLengo ni ngapi Mkuu?
Kafanikisha nini, kuzindua ufunguzi wa kontena lililokamatwa?Sema hupend kusikia rais akifanikisha jambo.unapenda kusikia kashfa tu.
Kubwa zima hovyooo. Unafiki utakuuwa ww.
Tatizo tumedanganywa kuwa kuna meli 30 Na nyengine zipo njiani. Ni uwongo uliokubuhuKafanikisha nini, kuzindua ufunguzi wa kontena lililokamatwa?
Labda zimehesabiwa na ambazo ziko njiani huko zinakuja....may be zimeshasogea sogea hadi usawa wa somalia hapo!kwi kwi kwiiiiiKwahiyo Yule jamaa alimdanganya Mkuu? Unless sio Jana.
Zilizopo njiani ni tatu angalia hiyo picha VIZURILabda zimehesabiwa na ambazo ziko njiani huko zinakuja....may be zimeshasogea sogea hadi usawa wa somalia hapo!kwi kwi kwiiiii