Kuna Meli Ngapi Leo? 30! Umesema Ngapi? 30 Mkuu

Maganya Nazi waterfront near bandari..hakuna hata meli 3 kwa siku. Tunapigwa change tu. 30 uongo tu
Hata wakitudanganya Hamna shida. Issue ni wawe na hela ya kufulfill budget.
 
Ha ha ha haaa... alimjibu "what he wants to hear"

Jamaa anaakili sana, atakua MwanaJF Yule.
 
Budget ya iliyopitishwa na bunge sina hakika kama imetekelezwa na serikali kwa asilimia zaidi ya 50% !! Always serikali is answerable kwa bunge, nitashangaa kama wabunge watashindwa kusimamia kweli kwenye jukumu lao la msingi!
 
Ni dalili za uongo. Kwa muda mrefu hatujawahi kufikisha meli 25. Muda huu Mombassa zipo meli 41.
Duh.. Hii nchi yenyewe kama ilivyo (yaani kama inavyoonekana katika ramani) ni AJABU LA DUNIA.
 
Maendeleo yataletwa kwa kuuza vitu vyetu nje,sio kuingiza.Kama anakusanya hela mbona hawatuambii makusanyo kama vile walivyofanya mwanzoni wakati wanakusanya Areas?
Na huwezi kuuza kitu bila kua na Kiwanda. Hivi unafikiri mtu kama Mohammed Enterprises angekua Rais angekua kajenga Viwanda vingapi mpaka Sasa toka November 2015?
 
Budget ya iliyopitishwa na bunge sina hakika kama imetekelezwa na serikali kwa asilimia zaidi ya 50% !! Always serikali is answerable kwa bunge, nitashangaa kama wabunge watashindwa kusimamia kweli kwenye jukumu lao la msingi!
Hatujawahi kupata Rais wa ajabu kama huyu.
 
Ndio mujue RAIS wetu Kama kasema kuna meli 30 ni uwongo
 

Attachments

  • IMG_9732.PNG
    171.8 KB · Views: 35
 

Attachments

  • IMG_9732.PNG
    171.8 KB · Views: 41
...rais anapodanganya wazi anafanya watu tuhoji kila kitu...maana hata ule mchezo wa bandari jana ilikuwa usanii tu kutafta kiki...nimemsikiliza leo kwenye hotuba yake ikulu amegundua watu watu wameanza kupoteza imani nae akaja na urongo mwingine... eti ni mara ya kwanza rais wa WB kuja TZ....yani huyu mtu siku hizi anaongopa bila aibu....
..anajua mjini haaminiki anasema kijijini watamwelewa...hajui huko kijijini nako wanafatilia tamthilia zake....

...siku hizi hiyo tamthililia ya hapa kazi tu na nchi ya viwanda zinakufa kwa kasi ya ajabu....maana hazina uhalisia....

..unajengaje viwanda wakati hela hata za mishahara na OC unadunduliza???
 
Bongo muvi hizo wewe kuwa na akili yale maroba ya nguo si ya manzese na hata plate numba za magari hukuziona wabongo bwana ndiyo maana ukaambiwa mitumbwi ya wavuvi 30
 
Bongo muvi hizo wewe kuwa na akili yale maroba ya nguo si ya manzese na hata plate numba za magari hukuziona wabongo bwana ndiyo maana ukaambiwa mitumbwi ya wavuvi 30
 

Attachments

  • IMG_9732.PNG
    171.8 KB · Views: 39

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…