Kuna Meli Ngapi Leo? 30! Umesema Ngapi? 30 Mkuu

Mimi sikuelewa ile lugha iliyotumika kuwa 'amemtuma India kwenye matibabu'. Au alimaanisha kuwa 'amempeleka' India kwa ajili ya matibabu.
Kama uko Instagram pitia kwa Mange Kimambi.. kila kitu hadharani.
 
Ha ha ha haaa... do you real believe that scene was based on true story?
 
Maganya Nazi waterfront near bandari..hakuna hata meli 3 kwa siku. Tunapigwa change tu. 30 uongo tu
 
Hiyo jana hakukuwa na meli 30. Ukiangalia leo zipo 17:
http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports
 
Mkulu alishasema ni Bora ingieee meli moja ambayo itakuwa inalipaa kodi......So twwnseni kama asemavyooo yeye

Ova
 
Viwanda vya local pombe ndiyo bongo sasa!

Ova
Yaani JPM anakosea padogo Sana.

Akituliza kichwa na kua mpole huenda mpaka anamaliza miaka 10 yake akajenga Hata Viwanda 10 tu vya kawaida vya atleast 10Bilion each.
 
Maganya Nazi waterfront near bandari..hakuna hata meli 3 kwa siku. Tunapigwa change tu. 30 uongo tu
Ha ha haaaa... lastweek nilikua pale CoCo beach, ilikua juma4 saa 5 usiku, nilikaa mpaka saa 7 hivi usiku. Nikawa namtania wife unaona zile nyumba zinawaka Taa? Ni nyumba! Akasema Hee Kumbe Hapa Dar kuna nyumba zinapakana kwa umbali mkubwa hivyo? Nikacheka sana, nikamwambia hizo ni Meli.. akasema mbona chache hivyo? Nikamwambia tukutane kwenye report ya mwezi ya TRA.
 
Ha ha ha haaa... do you real believe that scene was based on true story?

Mkuu;
The problem with actors if they are given a short notice to plan an event, they take it for granted that every one is going to be fooled in their action.
Just imagine, if for his visit today, he managed to capture 3 fancy vehicles, hidden in the containers, what about those containers which were not noticed since his last visit??
Waziri muhusika aachie tu ngazi. Anastahili kutumbuliwa mchana peupe. Usimngoje rais aje kukamata magendo yako.
 
Tanzania ya Leo siyo ya 1970's..

Leo watu wamepevuka kifikra sana.

Amtafute think tank Wa Jakaya, atamsaidia sana.

Kwanza Ben Saanane yuko wapi Mkuu?
 
Kwahiyo Yule jamaa alimdanganya Mkuu? Unless sio Jana.

Mkuu;
Hebu jiulize; Jamaa angelijibu Tange mwanzo wa mwaka ni meli 30 tu zimetia nanga hapa. Akaulizwa swali, ni mishahara mingapi umevuta? Unategemea angelijibu nini?? Namsifu sana jamaa kwa majibu ya haraka mazuri.
Meli 30 si zingeleta tatizo pale??
 
Haimaanishi kwa kuwa Mimi ni mtanganyika nidanganyike Na uigizaji wa Magufuli . Tangu aseme kuwa uvamizi wa clouds ni habari za mitandaoni Huku ushahidi wa cctv ukionyesha siwezi kumuamini Huyu jamaa mpaka naingia kaburini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…