Kuna mda wanawake kwa tamaa zao wanafanya watoto wanakosa haki kwa baba zao

Mimi nilibeba Mwanangu akiwa na miaka miwili baada ya kuletewa mapicha picha.

Mpaka alipojirudi ndio nikamrudisha ila Cha ajabu dogo aligoma kubaki kwa mama yake.

Nikatimua nae baadae ka mama yake kaka jileta kwangu kenyewe sijui nimekuja kumuona mtoto.

Nikakapiga mimba nyingine ndio ngebe ziliisha.
Sasa ndugu yangu hapo si inabidi uoe kabisa, watoto wawili kwa mama mmoja
 
Nilikuwa na mahusiano ya mda mrefu na binti mmoja tangu tukiwa masomoni kiasi kwamba mpaka ndugu na wazazi wa pande zote wakayafahamu mahusiano yetu.

Tuliendelea kuwa pamoja hata wakati ambapo tulikuwa tumemaliza masomo yetu ya elimu ya juu. Tuliishi wote nikiwa nimepanga baada ya kupata kidogo sapoti ya wazazi nikawa napambana na maisha ya kitaa nikijua Niko mtu ambae ni mwenza sahihi kwangu.

Huyu binti alipatq ujauzito na vipimo vilithibitisha hivo, akaomba kurudi kwao nikamruhusu. Nikabaki mjini napambana ninachopata namtumia kumsapoti kutunza mimba, alivojifungua ikabidi kama miezi minne hivi Mimi na binamu yangu tukasifiri kwenda kuona mtoto, tulipofika kimuonekano yule mtoto najiona Mimi kabisa kwa ule mfanano lakini baada ya maongezi ya mda mrefu na kutoa zawadi tulizopeleka, Binti akiwa na macho makavu kabisa tukiwa wa3, Mimi, yeye na binamu akinambia "nashukuru kwa sapoti Yako kwa kipindi chote ambacho tuko wote, lakini niombe samahani kukuambia kuwa huyu mtoto sio wako" na kadi nikapewa likionesha baba yake sio Mimi. Hapa naambiwa maneno haya Niko kwao tena nikiwa na binamu yangu

Sikuwa na jinsi zaidi ya kujikaza kiume kama vile hakuna kitu kilichotokea, baadae tukaaga tukaondoka, tulivyorudi nikawaeleza wazazi yote yaliyotokea wakanipa ushauri wao na maisha mapya yakaendelea.

Baada ya Miaka 3 kupita, maisha yangu yamebadilika kwa kiasi kubwa sana tofauti na mwanzo ambavyo nilikuwa Sina kazi, napokea simu kutoka kwa huyu binti wiki iliyopita, Akisema " Yule mtoto ni wangu na yeye ananipa taarifa tu nijue tu Ile ni damu yangu suala la kumhudumia yeye Hana shida nalo nikiamua nihudumie nisipoamua niache na kwamba kipindi kile alisema vile kwa kuwa sikuwa na uwezo wa kumhudumia hivyo kulikuwa na mtu ampa sapoti ya kutosha"

Ukimwangalia mtoto ni Mimi kabisa Wala siwezi kukataa hilo, kwa Sasa huyu nadhani kibosile wake aliyekuwa anampa jeuri hayuko nae tena anataka kurudisha mpira kwangu.

Pamoja kwamba alidai hahitaji sapoti kwangu amekuwa msumbufu sana mpaka kwa ndugu
Huyo mtoto sio wako.. Anakupanga tuu
 
Ukizaa na mwanamke kutoka ukoo wa shetani kumbuka kigezo chake ni mtoto.
Ukijipendekeza kupeleka mahusiano kwa mtoto ndio kiingilio toka ccm mezani kwenye maliziano.
Fanya kupotezea mpaka mtoto ajekujua ukweli au yeye mwenyewe kuja kwa wazazi wako kumleta.

Kwa sasa radar zinazoma yupo kwa waganga akisubiri bluetooth yako kupair
 
Pima DNA kwanza kimya kimya ,uhakikishe baada ya hapo utakuwa huru kumsaidia mwanao ikiwezekana mchukue huyo mwanamke akili ishakuwa ovyo atamuharibu kabisa.
 
Ila nimekuja kugundua huwezi kuta feminist anatokea Tanga wengi ni wachaga hawajui kupika. Sijui kwa nini
🤣🤣🤣🤣Nimeamini Tanga noma jamani,nimepata msaidizi wa nyumbani toka Tanga,ana miaka 22 jamani anapika chakula balaa,bites zote mpaka mabirian leo kaniagiza karanga anataka kupika karanga za mayai tunywe na sharubati Kama chombezo la weekend 🙄🙄.....muwekeni shemeji yenu kwenye maombi maana hizi tashtit za humu ndani🙉
 
🤣🤣🤣🤣Nimeamini Tanga noma jamani,nimepata msaidizi wa nyumbani toka Tanga,ana miaka 22 jamani anapika chakula balaa,bites zote mpaka mabirian leo kaniagiza karanga anataka kupika karanga za mayai tunywe na sharubati Kama chombezo la weekend 🙄🙄.....muwekeni shemeji yenu kwenye maombi maana hizi tashtit za humu ndani🙉
kipanya.jpg
 
🤣🤣🤣🤣Nimeamini Tanga noma jamani,nimepata msaidizi wa nyumbani toka Tanga,ana miaka 22 jamani anapika chakula balaa,bites zote mpaka mabirian leo kaniagiza karanga anataka kupika karanga za mayai tunywe na sharubati Kama chombezo la weekend 🙄🙄.....muwekeni shemeji yenu kwenye maombi maana hizi tashtit za humu ndani🙉
Wanawake wengi siku hizi hampendi kupikia waume zenu sijui kwanini wakati hilo ni jukumu la jinsia yenu Joannah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom