Kuna mbunge nilimpiga picha akiwa anavuta bange ilikua miaka 3 iliyopita.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,487
15,592
Wanabodi.
Hili wazo limekuja naona kuna mbunge anapiga mmea sasa nilimpiga picha kabisa ninayo ilikua maeneo ya SIDO mbeya sasa nikiitoa hadharani nitashtakiwa au? Naombeni ushauri.
 
Kwani ajabu kuvuta mmea ambao MUNGU MTUKUFU aliyeumba Mbingu na Dunia, Vinavyoonekana na visivyoonekana, mimea na wanyama, jua na mwezi, nyota na vimondo, GANJA na Mchicha... Kisha akasema kila mche utoao mbegu unafaa utumike kwa matumizi ya binaadamu...

Wapo wengi wanaovuta... MaRais kwa Mawaziri, Wabunge kwa Madiwani, Madaktari kwa Manesi, Wanajeshi kwa Polisi, wanaume kwa wanawake, timamu kwa vichaa, ndege kwa wadudu watambaao..

Kula mmea.. Kula Ganja
 
weka, ushahidi hushinda uongo hadharani si vyema kutuhumu viongozi wetu lakin panapokuwa ushahidi usiotia shaka tunaweza fanya hivyo kwani hakuna aliye juu ya sheria
 
Yani bange zinaathiri vijana wetu, ona huyo kashavuuuta na imemletea hisia kuwa anamcheki sugu anampiga bonge LA msuba, naomba niseme habari hizi zipuunzwe hazina ukweli wowote sugu wala havuti bangi kabisa
 
Kwani ajabu kuvuta mmea ambao MUNGU MTUKUFU aliyeumba Mbingu na Dunia, Vinavyoonekana na visivyoonekana, mimea na wanyama, jua na mwezi, nyota na vimondo, GANJA na Mchicha... Kisha akasema kila mche utoao mbegu unafaa utumike kwa matumizi ya binaadamu...

Wapo wengi wanaovuta... MaRais kwa Mawaziri, Wabunge kwa Madiwani, Madaktari kwa Manesi, Wanajeshi kwa Polisi, wanaume kwa wanawake, timamu kwa vichaa, ndege kwa wadudu watambaao..

Kula mmea.. Kula Ganja
Ulishuka vina kuupamba mmea. Hongera kwakua mwanafamilia mzuri
 
Back
Top Bottom