Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 5,854
- 10,312
Tupe namba yake atakusimulia magoli
Seran topic kama hz hua unakaa seat ya mbele kabsaHaha powlee ila siyo yote! Kuna mimama iko freshy tu mbona😁
Natetea nafasi yangu! Nadra sana kupata mimama kama sisi mkuu😅Seran topic kama hz hua unakaa seat ya mbele kabsa
Huyu ni mpuuzi flani hivi.37 ndio umri wangu ila siwezi kuuliza swali la kitoto namna hii aisee!
Kwa umama gani ulio nao hapo 3rd floor binti mbichi kabsa wewNatetea nafasi yangu! Nadra sana kupata mimama kama sisi mkuu😅
Habari yako fisi 😂😂😂Miaka 43 ndio bibi!? 😳😳,
We umerogwa nini, pisi kabisa na hapo ndipo kwenye peak ya utamu na burudani,
Kama umemshindwa, tuachie siSI
tule mpaka mfupa, sisi ndio mafiSI.
43 kwa 37, nyie ni rika 1.. mkatae kwa mengine ila sio umri wala ubibi, labda kama huyo mdada anajiweka kizee zee hapo sawa.
Na kikao kijacho cha wanaume inabidi uandike barua ya maelezo isiopungua page 3, kwanini umuite mdada wa miaka 43 ni mbibi, uambatanishe na picha zake 3 tofauti kwa utetezi wako
NAIBU KATIBU
JUMUIYA YA VIDUME.
We bisha tu ni bonge la mshangazz acha kabisa😄Kwa umama gani ulio nao hapo 3rd floor binti mbichi kabsa wew
Salama kabisa 😂🤣Habari yako fisi 😂😂😂
Umenichekesha sana, jioni ikawe heri kwako.Salama kabisa 😂🤣