The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,067
- 102,446
Utoto raha sana.
Ukishakojoa akili zitarudi vizuri ndio hapo utakapoamua mwenyewe uendelee au uamshe majeshi ila zingatia ukimtia mimba huyo bibi kizee ndio akili zitachaji vizuri ile taa nyekundu itawaka vizuri sasa hivi imefifia inawaka Orange ila ukitia kitu ndani ukakojoa mpaka misuli ya kichwa inakutoka ndio akili itakuamka kwamba hapa ndio penyewe au nimekurupuka,Wakuu mnanishaurije, niweke kambi hapa au niamshe majeshi?
43 kama kajitunza vizuri ni mali nzuri tu sokoni ukute ana akili bas unajilia kimya kimya!Unaleta fyokofyoko, kula mzigo acha unokounoko!
You are now crossing the lines chief!! Kuna kitu unakitafuta!!Naombeni namba za mama zenu niwashughulikie!
ninyi nyote ni vijana mliokomaa vizuri sana,Nawasalimu katika jina la Bwana Yesu Christo.
Kuna maamuzi nataka kuyafanya, ila kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho nikaona si mbaya nikiomba ushauri kwa wataalamu wa mambo ya mahusiano humu jf.
Issue nzima iko hivi: Kuna mwanamke ana miaka 43. Tulikutana katika mazingira fulani, yeye ndiye alianza kuonyesha interest na mimi.
Baada ya muda tukajikuta tumeanza kuwa karibu kimahusiano. Kiukweli ana mvuto mkubwa sana. Ana mtoto mmoja wa miaka 10 na baba wa mtoto yuko Marekani.
Sasa naona huyu mtu anakuja kwa kasi sana, na mimi suala la tofauti ya umri naona kama halijakaa vizuri kitaalamu sana.
Wakuu mnanishaurije, niweke kambi hapa au niamshe majeshi?
Kumbe hamli tusio kuwa na akili🥴43 kama kajitunza vizuri ni mali nzuri tu sokoni ukute ana akili bas unajilia kimya kimya!
Una mke au uko single?Nawasalimu katika jina la Bwana Yesu Christo.
Kuna maamuzi nataka kuyafanya, ila kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho nikaona si mbaya nikiomba ushauri kwa wataalamu wa mambo ya mahusiano humu jf.
Issue nzima iko hivi: Kuna mwanamke ana miaka 43. Tulikutana katika mazingira fulani, yeye ndiye alianza kuonyesha interest na mimi.
Baada ya muda tukajikuta tumeanza kuwa karibu kimahusiano. Kiukweli ana mvuto mkubwa sana. Ana mtoto mmoja wa miaka 10 na baba wa mtoto yuko Marekani.
Sasa naona huyu mtu anakuja kwa kasi sana, na mimi suala la tofauti ya umri naona kama halijakaa vizuri kitaalamu sana.
Wakuu mnanishaurije, niweke kambi hapa au niamshe majeshi?
Ni suala tu la kipaumbele, mahitaji na mudaKumbe hamli tusio kuwa na akili🥴
Aiseee,labda za mleta uziNaombeni namba za mama zenu niwashughulikie!